pole sana rafiki yangu Riwa
Yamekukuta eeeeeeeeehhhhhh!!!! Ndio faida za kuchoropoa mimba hizo. Unaona sasa ndoa yako ipo hatarini. Hii iwe fundisho kwa kina dada wanaopenda kuchoropoa mimba tano hadi kumi, kisa eti wanatunza usichana!!!!
Bibie.@kamsongole Pole kwa hayo matatizo yaliyo kukuta unasema umejaribu kila dawa imeshindikana? hujajaribu Dawa za MziziMkavu wewe. Mimi ninasema hivi jaribu Dawa zangu akipenda Mungu utapona na kupata mtoto inshallah mimi huwa ninatumia dawa za Tiba Mbadala dawa za Mitishamba ukiweza jaribu kuwasiliana na mimi nitakuambia kitu gani cha kufanya ili uweze kupona hayo maradhi yako nitumie baruwa ya Pepe Email Address yangu hii fewgoodman@hotmail.comMimi nimeolewa mwaka wa nne sasa. tangu nilipofunga ndoa niligundulika kuwa nina uvimbe na nikaambiwa na madaktari kuwa lazima nifanyiwe operation na kutolewa kizazi. sina mtoto hata mmoja hivyo nikakataa kufanya hiyo operation. Nimejaribu kila dawa imeshindikana. Naomba msaada wenu nifanyeje ndugu zangu. Naona maisha yanakuwa kitendawili sasa.
Mimi nimeolewa mwaka wa nne sasa. tangu nilipofunga ndoa niligundulika kuwa nina uvimbe na nikaambiwa na madaktari kuwa lazima nifanyiwe operation na kutolewa kizazi. sina mtoto hata mmoja hivyo nikakataa kufanya hiyo operation. Nimejaribu kila dawa imeshindikana. Naomba msaada wenu nifanyeje ndugu zangu. Naona maisha yanakuwa kitendawili sasa.
Mkuu BAK Mimi nikampa dawa yangu hawezi tena kufanyiwa Operesheni Uvimbe wote utapotea kwa muda usiopunguwa mwezi mmoja inshallah akitumia dawa yangu ila siwezi kumpa hapa mpaka anitumie email.Pole sana, lakini kama kutofanyiwa hiyo operesheni kunaweza kuhatarisha maisha yako basi ni bora mkae chini na mwenzio kuongea kuhusu hili. Kwa maoni yangu ni bora kuifanya hiyo operesheni mapema kabla hali haijawa mbaya. Pole sana.
Mkuu BAK Mimi nikampa dawa yangu hawezi tena kufanyiwa Operesheni Uvimbe wote utapotea kwa muda usiopunguwa mwezi mmoja inshallah akitumia dawa yangu ila siwezi kumpa hapa mpaka anitumie email.
Mkuu BAK Wameshindwa Ma-Daktari kumtibu huyu bibie kamsongole Mimi nitampa dawa yangu atatumia na atazaa inshallah kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu na atakuja hapa kukupeni feedaback.Kama atakuwa yuko tayari kutumia dawa yako hakuna ubaya Mkuu na si ajabu inaweza kumsaidia katika ndoto zake yeye na mumewe za kuwa Wazazi watarajiwa....Kila la heri Mkuu MziziMkavu hauchimbwi dawa.
Mkuu BAK Wameshindwa Ma-Daktari kumtibu huyu bibie kamsongole Mimi nitampa dawa yangu atatumia na atazaa inshallah kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu na atakuja hapa kukupeni feedaback.