NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
Sijui kama neno utengenezaji litakua sahihi ila ntaassume ukisoma utanielewa.
Genetic Engineering leo, hii field inahusiana na manipulation ya viumbe kwa kutumia biotechnology ambapo DNA ya kiumbe kimoja yaweza kuchanganywa na kiumbe kingine ili kupata kiumbe chenye tabia flani ambayo inakua imekusudiwa. Mfano, mtu anaweza kutengeneza bacteria ambayo ukiiweka kwenye maji ambayo yana wadudu wa aina flani hatari basi maji hayo hubadilika rangi kama indication, kwenye medicine imetumika kumodify human growth hormones, insulin production, kupambana na bacteria etc. Kuna matumizi mengi sana kutokana na hii field ila focus yangu haitokaa sana kutoa mafunzo ya Genetic Engineering, mtu anaweza kusearch na kupata data nyingi sana kwa ambaye yuko interested, focus yangu hasa ni Je, kwa nini Tanzania na nchi nyingine Africa in general fields kama hizi yani ni kama hazipo vile, hata watu ambao wanajihusisha ni wachache sana, si kua hazina faida Hapana, na third world countries zinahitaji sana hizi technology kuliko hata first world countries ila interest ni ndogo sana.. Ukiingia high schools wanaosoma science utakuta "Doctor of medicine, Lab technician, Civil Engineer, Oil&Petroleum" wengi watakujibu hivo, wachache utasikia "Computer science/engineering"
Tatizo nini?