Utengenezaji wa viumbe wa Genetic Engineering

Utengenezaji wa viumbe wa Genetic Engineering

Dreson4 , njunwa wamavoko
nina rafiki yangu mmoja mkenya pale nairobi,he holds a degree in Biochemist,yet he is a drummist in praise and worship team of a local born again church, that's what he does for a living.nikamuliza how comes msomi kama wewe wa biochemist frm kenyatta university huna kazi?.akaniambia mazee hiyo field not only in kenya but the rest of eastafrica,it aint pays at all.
 
Last edited by a moderator:

Kazi ipo, tena kubwa kweli kweli
 
Huyo ni Mzembe au Dini imemshika mpaka kaona hii elimu ni uzushi

Pale Muhimbili mwaka jana walikuwa na Lecturer kutoka Ethiopia just b'se maticha walikuwa hamna kabisa ikabidi mkuu wa department ya Biochemistry afanye mishe kuwatafuta hata walau wadau waliosoma wote huko nje wajee kumpa shavu la kufundisha

UDSM kuna Biotechnology na wanaazima Lecturer kwa ajili ya kufundisha Biochemistry nisijue huko SUA maana sina exposure nao...hivi ni vyuo vya serikali

Ukija vya Private ndo usiseme kabisa Lecturers hamna kabisa ni full kuazima kuanzia St.Francis,St.John University(kuna pharmacy),Hubert Kairuki, etc

Na Malecturer wa Biochemistry wana WIGO mpana wa kutengeneza hela kwa RESEARCH mfano kuna Lecturer mmoja huwa tuko Peace ananambia amefanya RESEARCH ambayo inayojaribu kuelezea kwa nn Wagonjwa wenye kuumwa na TSE TSEFLY wanakuwa na SLEEPING SICKNESS anajaribu kuielezea mechanism kwa kutumia Biochemical rxns na anategemea kula mpunga mzuri tu anavyodai

sasa huyu Mkenya mm simuelewi anaposema hii Biochem hailipi EAST Africa nzima

Zaidi Basi ajiendeleze akasome Hiyo Genetic engineering beyond doubt ataajiriwa kwenye makampuni makubwa tu yanayofanya Hizi issue
 
Mkuu naona umejaribu kuonyesha kua sio Wanafunzi tu wenyewe, na serikali nayo imekaa na kuwazia siasa tu na kusahau kua tupo katika dunia ya sayansi na teknolojia. Ni aibu, na ni kweli upande mwingi umelalia kwa serikali, ni jukumu la serikali kuwatengenezea wanafunzi exposure wapate kuyajua mambo ya dunia yanavokwenda, wapate kua na ufikiria wa mbali. Tofauti nilikuja kuiona baada ya kumaliza highschool bongo na wenda kusoma nje moja ya vyuo vikubwa tu duniani. Nje nimekutana na watoto high school wanatengeneza vitu vikubwa sana, mfano kuna kampuni ya Intel hua inafanya mashindano kila mwaka, wanafunzi wa highschool wanafanya project mbalimbali na kutengeneza devices afu mshindi anapewa zawadi, kuna watoto wametengeneza robots, moja katengeneza device ambayo inaweza kuchaji betri ya simu full ndani ya dakika moja, mwingine katengeneza Virtual Reality headset. Hawa ni high school, wakiingia chuo wakamaliza wanakua sehemu gani??
Wanapata support kubwa, Ni kweli Serikali na hata watu wenyewe pia wamekalia sana siasa, wamesahau mambo mengine ya msingi zaidi

mkuu dreson, umenikumbusha kitu hapo. miaka ya nyuma tu, kweye tv moja hapa bongo kuna mshkaji alitengeneza helicopter. ndio nafahamu haikuwa nzuri kama zile ambazo tumezoea kuziona ila kwakweli alijitahidi sana. kuna mwingine pia alikuwa mwanafunzi wa veta sikumbuki alikuwa wa chuo cha mkoa upi ila huyu bwana nae aliweza kutengeneza sauti fulani ambayo ukiitumia wakati unavua( hii sasa ni spesho kwa wavuvi) unaweza pata samaki wengi. walimu wa huyo dogo waliijaribu na waka-prove na hadi ikaruka hewani kwenye media. pia kuna mwanafunzi mwingine wa majengo high school huku moshi alitengeneza ki radio station cha ki home home, alikuwa na mic ya kuunga unga, na vifaa vinginge vidogo vidogo, pia alikuwa na mp3 player yake. akiwa chumbani kwake anatangaza wewe ukiwa nnje hata kwa umbali flani unaweza kukamata frequency zake na ukasikiliza anachozungumza. na kuna wengine wengi wamehojiwa sana ila nimeshasahau walivyotengeneneza. sasa point ya msingi ni hii, je wameendelezwa? maana nikimkumbuka yule mchizi wa helicopter sijui aliishia wapi maskini, alionyesha nia katika kile alichotengeneza ila serikali ikampotezea. na wale wengine waliobakia pia nao naamini wameachwa tu kitaa akili na maarifa yao kama serikali ingewatumia ipasavyo wangesaidia sana hii nchi. vyuo vya ufundi navyo siku hizi ni vidogo na amhitaji ya watu ni wengi. mdogo wangu mwezi wa kumi mwaka jana alifanya mtihani wa kujiunga na veta, kilichotokea ni kwamba wanafunzi walioomba nafasi na kufanya mtihani walikuwa wengi sana na hao veta ilikuwa inauwezo wa kuchukua robo tu. hivyo basi robo tatu nzima ikaachwa mtaani. jumlisha na hawa waliomaliza tunaosubiria hizo division five zao hivyo hapo unaona idadi ya vijana mtaani ikiongezeka. mambo ya muhimu yanaachwa, yanashikiliwa yale ya ambayo hayana tija. wakuu, naomba kuwasilisha.
 
Huyo ni Mzembe au Dini imemshika mpaka kaona hii elimu ni uzushi

Pale Muhimbili mwaka jana walikuwa na Lecturer kutoka Ethiopia just b'se maticha walikuwa hamna kabisa ikabidi mkuu wa department ya Biochemistry afanye mishe kuwatafuta hata walau wadau waliosoma wote huko nje wajee kumpa shavu la kufundisha

UDSM kuna Biotechnology na wanaazima Lecturer kwa ajili ya kufundisha Biochemistry nisijue huko SUA maana sina exposure nao...hivi ni vyuo vya serikali

Ukija vya Private ndo usiseme kabisa Lecturers hamna kabisa ni full kuazima kuanzia St.Francis,St.John University(kuna pharmacy),Hubert Kairuki, etc

Na Malecturer wa Biochemistry wana WIGO mpana wa kutengeneza hela kwa RESEARCH mfano kuna Lecturer mmoja huwa tuko Peace ananambia amefanya RESEARCH ambayo inayojaribu kuelezea kwa nn Wagonjwa wenye kuumwa na TSE TSEFLY wanakuwa na SLEEPING SICKNESS anajaribu kuielezea mechanism kwa kutumia Biochemical rxns na anategemea kula mpunga mzuri tu anavyodai

sasa huyu Mkenya mm simuelewi anaposema hii Biochem hailipi EAST Africa nzima

Zaidi Basi ajiendeleze akasome Hiyo Genetic engineering beyond doubt ataajiriwa kwenye makampuni makubwa tu yanayofanya Hizi issue

Wazembe nao wapo, si unajua wale wazee wa kusubiri kuajiriwa sehemu. Na nadhani ana bachelor kagoma hata kwenda kujiendeleza huyo.
 
Huu uzi nadhani ungekuwa sticked.

nimejifunza mengi sana hapa.
 
Duuh!Kumbe makamu waraisi yuko poa katika Neclear rxns?

Au ni kama Mark mwandosia amabaye nasikia ni Bonge la Engineer tena upigisha Pindi hata Ughaibuni huko lkn naye akajitosa katika SIASA:angry:

Poor Him
Poor Tanzania

Yahh ni kweli ni mtaalamu wa maswala ya fizikia na nuclear..na kama sikosei ameshafundisha sana tu pale UDSM!! Lakin sasa yuko wapi?? Mimi naamini kuna ma injinia wengi sana wapo hapa bongo lakin wengi wanakimbilia siasa!!!

Serikali inatumia mabilioni ya fedha kusomesha wana sayansi na ma injinia!! Lakini embu jaribu kuangalia tenda za ujenzi anzia kule kigamboni..njoo kwenye barabara kubwa hapa bongo zote unakuta wanapewa wachina!!

Naimani hata udsm na udom wameanzisha kozi za mafuta na gesi je umadhani hawa wataalam watatumiwa?

Inasikitisha na inakatisha tamaa hasa kwa tulio vyuoni!!
 
Kabla Hatujawalaumu wasomi, kwanza tukumbuke kuwa hakuna mtu anataka kupata shida na amesoma vya kutosha. Kufanya reseach kama hizo inahitaji hela nyingi, pia vifaa ni ghali sana. Ni ngumu kwa mtu binafsi kufanya mwenyewe, nchi za wenzetu kuna research labs nyingi na pia husapoti reseach binafsi. So mwana sayansi anajua kuwa nikifanikisha hili ninapesa yangu ndefu, pesa ndio sabuni ya roho.

Endapo serekali haitaonesha nia katika kuendeleza Genetic Engineering then tusahau. Mimi ninarafiki yangu kwa sasa yuko India anasoma Genetic Engineering, Ila ninamashaka endapo atakuja kufanya kazi bongo kwa mfumo wa sasa ulivyo.
 
Back
Top Bottom