maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,173
- 1,539
WanaJF,
Natumai wote tupo poa.
Baada ya kutoka kanisani leo nimekuwa natafakari madhara ya vita vinavyoendelea sehemu mbalimbali duniani kama Ukraine, Sudan etc.
Naendelea kujifikirisha hapa kwa nini viongozi wetu wakubwa wa dunia kama Umoja wa Mataifa wasipige marufuku utengenezaji wa hizi silaha kali za kivita sababu lengo lake ni kwenda kinyume na afya ya binadamu.
Ebu fikiria unampa mtu chanjo au dawa ya kufubaza virusi vya UKIMWI halafu baada ya hapo unampa jirani yake silaha amuue. Sasa hapo tunaokoa nini?
Tupinge ukoloni huu wa kuua wenzetu.
Tuandae pia petition ya kupinga utengenezaji na uuzaji wa silaha duniani.
Hii itasaidia dunia kuwa sehemu salama ya kuishi.
Nawasilisha.