Hata mapishi tofauti. mchemsho, roast, mishikaki, etcnyama ile ile lakini ladha tofauti
kwa hiyo tufunge mjadala kuwa kila K ina ladha yake kulingana na maumbile, ufundi wa ziada ujuzi wa dume, na manjonjo mengine! Asanteni kwa michango yenuKila nyama inatest yake bwana tusidanganyane.Ngombe aliyelima ni tofauti na ngombe ambaye hajalima.Kwa hiyo akina mama wasituzingue
Zafanana sijui basi hili bado lipo Tanga????
fazaa kweli huu ni mwaka mpyaMhhm kwa kweli sijui kama kila K ina test tofouti au iko kama zingine, mana huwa naziheshimu sana K sijazichezea kama wanavyo zichezea wengine na ni bora niendelee kuziheshimu mana ukiziheshimu na wewe utaheshimiwa :biggrin1:
mkimaliza maongezi ya K tuhamie kwenye M....
Si nyama tu bali hata mchele uwe uleule lakini MAPISHI hutofautiana.Akina mama na akina dada wanamsemo huo hapo juu wakimaanisha kuwa wanaume mtatembea(sex) na wanawake wengi lakini ladha ni ileile hakuna tofauti kati ya uke wa x na y.Lakini katika nyama kuna figon maini, kongolo, ulimi, mkia(mkubwa na mdogo) filet, kidali, salala, nkm Na vyote hivi vina ladha tofauti. Je ni kweli wanawake pamoja na tofauti ya maumbile wanafanana kati SEX?
Aafu pia kuna usafi, ukarimu wa muuzaji. Hivi vyote vinakufanya ule nyama kwa starehe.
Your welcome any time, Sister.thanks ma bro
mkimaliza maongezi ya K tuhamie kwenye M....