Utazifanyia nini pesa zote hizi ?

Ntawapa maisha , First Lady , Maria Rose , Preta na wengine wengi tuuuuuuuuu !

Kuna usemi unakwenda hivi:
Kwa jinsi hii utamaliza kontena la pesa na mb** kuwa butu kama tindo ya kuchongea mawe!
 
Mimi nikizipata nitazitumia kununulia madawati na kujenga nyumba za waalimu
 
Mimi sizitaki. hizi za bila kuzifanyia kazi halali zinaweza kukufanya uwe kama wale maFISADI.
 
Duuh! Bwana weye, ebu kawaulize mafisadi na mtetezi wao wanafanyia nini mabilioni yetu waliyokwiba... wanasafiri kama watalii, wanakodishia wake zao ndege za serikali, wanawajengea watoto wao vituo vya mafuta wanayoingiza bila kodi, wanawanunulia watoto wao vogue kila mtu na yake, wanajenga majumba masaki, mbezi beach, mwanza, dodoma, kila mahali.. na nyingine ndo hizo ziko mtaa wa Undali zinafanya kazi....ili mradi tu wajenge himaya na kudhani watatutawala milele. Ole wao! bakora inakuja oktoba 31 !
 
Nitaenda kuowa dada yake mtani wangu Junius. Nina imani Junius hataniona nina Kichaa kama ambavyo ameanza kuamini.
Unajuwa uhusiano wa Waarabu na wanyamwezi unaanzia na kuishia wapi?......teh! teh! teh!....!!!
 
Kama kwa bahati nzuri Mungu akakupa PESA zote hizi hapa. Je utazifanyia matumizi gani ???
Nitajenga Viwanda mijini na Vijijini ,Mashule pamoja vyuo vikuu ya Sayansi na Teknolojia Vijijini, Mahospital vijijini , Viwanda ili watu wapate kazi,Shule na vyuo Vikuu ili tuwe na watalaam wengi wa kutosha Mahospitali ili tupunguze msongamano wa watu kukimbilia Mahospitali ya mijini haya mnasemaje mawazo yangu?:llama:
 
Hizi pesa tukizipata sisi wabantu hakyaanani ni kuoa kila kukicha hadi zitatuua kama sio kuwa kichaa!!

mkuu nilikuwa nawaza hicho hicho, kwani kwa mujibu wa dini zetu za kibantu (achana na hizi za mashariki ya kati) mwanamume unaweza kuoa mpaka wake wangapi?

Signature (part a) yangu ni jibu la matumizi ya pesa hizi!
 
Back
Top Bottom