Utawezaje kuacha kupiga punyeto?

Nakushauri uache mara moja ndugu yangu...nina mfano hai, leo unapata raha kesho nguvu zitakuishia wanawake wote utakuja waona kama dada zako...hisia zitatoweka kwa kuishiwa nguvu...nyeto haifai
 
..jitahidi,ukidhamiria utaacha kijana,hii mambo sio nzuri
 

Tupe mau janja eeeh...hiyo $tyle mpya ikoje?...funguka jombaaa.!
 
Punyeto ni addiction tu kama ilivyo uvutaji sigara au unywaji pombe.

Ukitaka kuacha ni kuweka tu dhamiri kuwa hii kitu mimi basi!!!
 
kama vipi kasome shule za mchnganyiko








kama
ka
 
uyo jamaa tusimlaumu tusije kumlaumu hata mimi iyo kiti nimeshindwa kujizuia na nina mke na miaka yangu 30 sasa na mke ananipa wakati wowote ule kwa hiyo ni katabia tu kukiwacha inakua tabu .
 
Jaman nina ndugu yangu anapenda cana hizo mambo nimemshauri aache but anacema hyo mambo ndo inamfanya apate raha kuliko hata ku du na mwanamke co naomben michango jaman nimcaidiaje.

Akianza kupigwa dole ataacha
 
puli kuacha ni kazi sana aiasee especially kama unaogea sabuni yenye harufu nzuri
 
Jaman nina ndugu yangu anapenda cana hizo mambo nimemshauri aache but anacema hyo mambo ndo inamfanya apate raha kuliko hata ku du na mwanamke co naomben michango jaman nimcaidiaje.



jaribu kukaa siku bila kufikiri kupiga nyeto, na hilo wazo likikujia tu jaribu kusoma gazeti au lima kibustani hivi pembeni ya unako kaa. Nikuulize, unapofanya ngono unajisikiaje? Kama unaona mkono ni bora zaidi ya tendo lenyewe la ndoa basi una hitilafu kichwani. Kuacha kwake jaribu kujipaka ----- mikononi ama gundi/ulimbo ili akili yako ijuwe kuwa umevaa zana na dushelele lisimame kila dakika. Ukifanya hivi utaishi maisha marefu zaidi, kwani kupiga nyeto tu kila dakika tano unajipunguzia maisha na ukiendekeza zaidi utakuja pigwa na shoti ya umeme bafuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…