Utawasuluhishaje Flora na Ema Mbasha?

mbasha kacheat na shemegie na Flora kacheat na Mch Mwagima....hapo patamu
 
Nimeangalia video inayoonyesha maojiano ya baba mzazi wa Emmanuel,pamoja na video ya maojiano yake mwenyewe mbasha,

Kama wanayosema,ni ukweli mtupu,namshauri aachane na Frola,aangalie maisha yake,nenda mahakamani kaka vunja ndoa,endelea na maisha yako,mkeo wa ndoa akutaki,mke kakomba kila kitu nyumbani kwenu,kuanzia vikombe vya chai mpaka hati za nyumba na viwanja,amefanya yote hayo ukiwa jera,hata jera hakuja hata kukujuria hari,najua unampenda sana kama unavyojiereza kwenye mahojiano yako uliyofanya na grobal tv,do not be naive bro! huyo mwanamke hakupendi tena,ameisha chepuka,hayupo nawe kihisia tena,

Nayasema haya sio kwasababu namchukia Frola,huo ndio ualisia wa mambo,naijua ndoa vizuri tu,mambo yakisha fika hapo ni bora kuachana tu,kila mtu aangalie mambo yake,ulikuja duniani peke yako,utaondoka peke yako,

Binadamu kaumbwa kwa mfano wa MUNGU,ukuumbwa kuteseka hapa duniani,change your mindset,songa mbele,
kaa nae mbali kabisa, "WHERE EYES CAN NOT SEE,HEART CAN NOT FEEL"
 
Frola hafai kbs haiwezekani mume yuko jela yy asombe vitu namshangaa mbasha anaroho ngumu bd anamwambia milango iko wazi arudi
 
Nimeangalia video inayoonyesha maojiano ya baba mzazi wa Emmanuel,pamoja na video ya maojiano yake mwenyewe mbasha,

Kama wanayosema,ni ukweli mtupu,namshauri aachane na Frola,aangalie maisha yake,nenda mahakamani kaka vunja ndoa,endelea na maisha yako,mkeo wa ndoa akutaki,mke kakomba kila kitu nyumbani kwenu,kuanzia vikombe vya chai mpaka hati za nyumba na viwanja,amefanya yote hayo ukiwa jera,hata jera hakuja hata kukujuria hari,najua unampenda sana kama unavyojiereza kwenye mahojiano yako uliyofanya na grobal tv,do not be naive bro! huyo mwanamke hakupendi tena,ameisha chepuka,hayupo nawe kihisia tena,

Nayasema haya sio kwasababu namchukia Frola,huo ndio ualisia wa mambo,naijua ndoa vizuri tu,mambo yakisha fika hapo ni bora kuachana tu,kila mtu aangalie mambo yake,ulikuja duniani peke yako,utaondoka peke yako,

Binadamu kaumbwa kwa mfano wa MUNGU,ukuumbwa kuteseka hapa duniani,change your mindset,songa mbele,
kaa nae mbali kabisa, "WHERE EYES CAN NOT SEE,HEART CAN NOT FEEL"

Musoma
 
Ohoooo kumbe alitegeshea mume yuko jela akaenda kusomba vyombo na documents? Halafu akasingizia kuwa watu walivamia akakimbia!!! Na polisi eti walienda?!!! Kweli Gwajima ana nguvu kubwa sana.
 
Wana MMU kama tulivyosikia na kusoma; ndoa ya Flora na Emma imetikiswa sana.

Na kama jambo hili likibainika kweli katika jicho la kisheria basi ni dhahiri ndoa hii itasinyaa sana.

Mimi nashauri jambo hili lipate suluhu ya kifamilia zaidi hasa ukizangatia kwamba wawili hawa wamelalamikiana na kutengana kwa muda (kila mtu na lake) na bado haikuwasaidia sana.

Hebu fikiria umeitwa katika kuwapatanisha hawa wanandoa ni nini ushauri wako.

Mods; naomba hii safu isiunganishwe na safu nyingine ili ushauri utakaotolewa hapa iwe ni rahisi kuupata. Nawasilisha.
Nionavyo tatizo la hawa wawili kwa kiasi kikubwa limeletwa na mafanikio waliyoyapata bila kutegemea, pili tatizo lingine ni kuwa walioana wakati hawajaelewa kwa upana maisha ya ndoa, jambo lingine ni kuwa kwa watu ambao hujificha kwenye kivuli cha ulokole na kuhadaa watu kuwa wao ni wa kiroho hayo waliyo yapata ndiyo fimbo itokayo juu, hawa wawili wanahitaji sana kwanza kumjua Mungu, maana inaonyesha wana matatizo makubwa ya kiroho, yanayowafanya wakose hekima iwapasayo kuishi kama watumishi wa Mungu.
 
Back
Top Bottom