Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 462
Wana MMU kama tulivyosikia na kusoma; ndoa ya Flora na Emma imetikiswa sana.
Na kama jambo hili likibainika kweli katika jicho la kisheria basi ni dhahiri ndoa hii itasinyaa sana.
Mimi nashauri jambo hili lipate suluhu ya kifamilia zaidi hasa ukizangatia kwamba wawili hawa wamelalamikiana na kutengana kwa muda (kila mtu na lake) na bado haikuwasaidia sana.
Hebu fikiria umeitwa katika kuwapatanisha hawa wanandoa ni nini ushauri wako.
Mods; naomba hii safu isiunganishwe na safu nyingine ili ushauri utakaotolewa hapa iwe ni rahisi kuupata. Nawasilisha.