Utawala Wa Kisultani Chini ya Kikwete Na CCM !

Utawala Wa Kisultani Chini ya Kikwete Na CCM !

Siku hizi naona utamaduni tuliojiwekea hapa JF wa kujibu hoja kwa hoja unapotea kila siku, mipasho inazidi kuchukua nafasi kila kukicha! Rejea hoja hii na majibu yanayomtajataja Slaa! Km ni uenyekiti wao (JK na Slaa), mbona vyama vingine vyote vina Wenyeviti? Tumejikwaa wapi jamani?!
 
Bora hata ya jk unajua kuwa chadema wameweka mpaka hawala zao kwenye viti maalu na udiwani mfano rose kamili suku na paleso-hawala wa slaa,esther matiku -hawala wa mbowe,lisu kapeleka dada yake ambaye ni cristina lisu,ndesambulo kaweka binti yake ukipinga ntakuwekea nyumba ndogo zaidi za hawa watu wako.
Taja nyumba ndogo za CCM kwanza harafu CDM utamalizia, nani akamwka nani DC, RC, UWAZIRI, UKURUGENZI etc
 
Sultani Kikwte Halmashauri Kuu ya CCM, ameiteka Mohamed Kikwete,Ridhiwani Kikwete ,Halfani Kikwete,Tatu Kikwete, Ramadhani Kikwete, Abdalah Kikwete, Salma Kikwete, na siwazuri Kikwete kwa raha zake hana shida ataulizwa na nani MACCM yameshakuwa misukule yake
 
Chezeya JK na ukwere magogoni......kabisaaaaa wanacheza kibao kata ikulu
 
Back
Top Bottom