Utawala hatari na wenye nguvu duniani

Utawala hatari na wenye nguvu duniani

mbegubora29

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
547
Reaction score
393
Salaam zenu wanaJF,

Historia inatufundisha hakuna utawala hatr na wa kutisha kama wa firaun lakini bado watu wake hawakuandamana walisubir mpaka pale muumba wao alipowanusuru

Unajua kwasabb gani?

1. Waliamini yupo aliowaumba ipo siku atawanusuru
2. Nguvu yao ndogo hawawezi kupigana na mtawala ambaye ni firauni

Hivyo vijana wkt unaandaa mapigano lazima ujiulize unapigana kwa ajili ya nani na nguvu yako ikoje la sivyo mtakwisha vijana na lile mnalolikusudia msilipate kabisa.
 
Ujumbe wako mzuri lakini ni contrary na French revolution iliyomtoa king Louis madarakani
 
Salaam zenu wanaJF,

Historia inatufundisha hakuna utawala hatr na wa kutisha kama wa firaun lakini bado watu wake hawakuandamana walisubir mpaka pale muumba wao alipowanusuru

Unajua kwasabb gani?

1. Waliamini yupo aliowaumba ipo siku atawanusuru
2. Nguvu yao ndogo hawawezi kupigana na mtawala ambaye ni firauni

Hivyo vijana wkt unaandaa mapigano lazima ujiulize unapigana kwa ajili ya nani na nguvu yako ikoje la sivyo mtakwisha vijana na lile mnalolikusudia msilipate kabisa.

1. Kwa mujibu wa Ibara ya 8(1) (a)- (d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 inatamka Wazi kabisa kwamba "Wananchi ndio msingi wa Mamlaka yote, na Serikali itapata madaraka na Mamlaka yake yote kabisa kutoka kwa Wananchi....."

2. Kwa hiyo Basi, Wananchi ndio wenye nguvu kubwa zaidi za kuweza kumwajibisha Mtawala yoyote yule ndani ya Serikali ambaye anaonekana kuwa hafai.
Na uzoefu kutoka duniani kote kabisa unaonyesha kwamba Umma haujawahi kushindwa pale Umma huo unapoamua kwa dhati kabisa ya mioyo yao kutenda jambo fulani ili kulinda na kutetea maslahi yao.
 
Back
Top Bottom