Gunda66
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 516
- 312
Ni rahisi tu
- Acha kula vyakula vya viwandani
- Punguza Starehe
- Hakikisha unapata masaa nane ya kupumzika
- Pia pata masaa nane ya kulala. ninaposema kulala nina maana usingizi sio kuulaza mwili kitandani huko ni kupumzika.
- Hakikisha unaumwagia mwili maji kila siku saa 12 asubuhi maji baridi sio ya moto.
- fuata ratiba ya kula na kuiheshimu usibadilishe muda wa kula. hata kama kuna chakula kitamu na kingi wewe tumia kipimo kimoja kila siku.
- Acha kuropokaropoka bila sababu jizuie kusemasema mambo yasiyo na maana.
- UKITUMIA NJIA HIZI UTAFIKIA UMRI WA HUYU BI-MKUBWA
Hapo kwenye nyekundu,, kwa mishahara hii ya kibongo lazima ufe maskini yaani maaa 16 bila kufanya kitu chochte cha msingi?? Bora nife mapema kwa kuishi maisha ntayoenjoy na sio kuishi miaka mingi ya ufukara!!