Utaufikia umri huu?

Ni rahisi tu
  • Acha kula vyakula vya viwandani
  • Punguza Starehe
  • Hakikisha unapata masaa nane ya kupumzika
  • Pia pata masaa nane ya kulala. ninaposema kulala nina maana usingizi sio kuulaza mwili kitandani huko ni kupumzika.
  • Hakikisha unaumwagia mwili maji kila siku saa 12 asubuhi maji baridi sio ya moto.
  • fuata ratiba ya kula na kuiheshimu usibadilishe muda wa kula. hata kama kuna chakula kitamu na kingi wewe tumia kipimo kimoja kila siku.
  • Acha kuropokaropoka bila sababu jizuie kusemasema mambo yasiyo na maana.
  • UKITUMIA NJIA HIZI UTAFIKIA UMRI WA HUYU BI-MKUBWA
 

Kwa maisha tuliyo nayo sasa na changamoto tulizo nazo ni ngumu
 

Kwenye nyekundu Girls and Mamen wa JF somo linatuhusu
 

maji lita 2 + matunda asilia
 

maji lita 2 day + matunda asilia
 
Last edited by a moderator:



Mengine yote naweza ila haya siwez ntakufa tuu
 
Huyu ntakua nimemzidi 2yrs, duh ila unafika umri huo ili iweje?

mwenyewe sielewi watu wanaotaka kuzeeka hivyo.

niliangaliaga documentary moja, mbibi huko china ana almost 120. kama mtoto. anavyokula. hawezi kwenda chooni. anaogeshwa. hasikii....

dah....
 

Umesahau jambo moja tu "muombe MUNGU akupe maisha marefu"
 

Haya cheki na hii sasa!
usafiri.
Ardhini hakufai
Baharini mashaka
Angani kama unavyoona mwenyewe.

Maisha magumu,
Ukiwa nazo kuwindana njenje
Tindikali
Mabomu yanalipuka hovyo

Mkuu duniani si sehemu salama tena ni kufuata hayo na kumuomba mungu tu!huko ni majaaliwa!
 

usioe mwanamke wa kichaga pia
~~jiepushe na makundi ya kiislam kama boko haram etc
 
mwenyewe sielewi watu wanaotaka kuzeeka hivyo.

niliangaliaga documentary moja, mbibi huko china ana almost 120. kama mtoto. anavyokula. hawezi kwenda chooni. anaogeshwa. hasikii....

dah....

Nimateso tu kwakweli!
 

Mkuu sana, kuna starehe za aina nyingi, hasa ngono tena ile zembe!
 

Unaweza fanya yote hayo na bado ukapanda Ndege Ikadunguliwa ikapotea ikaanguka mali, yote kwa yote ni sala tu basi!
 
Mungu wangu!umri kama huo ni kuongeza stress kwenye maisha ya wanandugu unao wategemea,mie hata siutaki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…