National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
sophy27 umemuacha mkoa au πππKesi gani tena kipenzi changuπππ
Hatujatumika kabisaNamba E, mwambie mwamba sisi ni namba E matoleo ya 2023 kabisaπ€£π€£
Nakuvumilia na uzee wako na hela huna kumbe ndio mambo yako hayaππππKesi gani tena kipenzi changuπππ
ufurahi kwenda wapi π§π§π§Yaani hupendi kabisa kuona nikifurahi eti!!
Hebu niwacheeee!!π€£π€£π€£ufurahi kwenda wapi π§π§π§
mie nakuepusha na hao mabazazi πππ
Aaah, namba E hatujatumika walaa!!π€£Hatujatumika kabisa
Kifupi tu mimi na Cillah sijaona wa kututenganisha, huyu National Anthem ajaribu tu lakini ajue tuna miaka mingi sana, tumepitia mengi sana.Aje tu na yeye atasusa kama yule mjumbe aliyekimbia.
Cillah yuko imara sana nimempenda bure
Umenipigia tiktaka flani ghafla wachawi haooooπ€£π€£π€£Hebu niwacheπ€£π€£π€£
π π π Bangkok tu hapo ... nikishusha pdf unaweza baki unashangaa..Jamaa ana misifa sana sijui muhaya?π€£π€£π€£
Anasimulia eti yeye husafiri hadi Bangkok
Jst kupooza kiu tu?
Unaamini haya?
Baby napitia hapo sokoni kununua dagaa mchele wa ugali jioni.Ila wewe ni korona walahπ€£π€£π€£
πππ yule mwingine mliachana auKifupi tu mimi na Cillah sijaona wa kututenganisha, huyu National Anthem ajaribu tu lakini ajue tuna miaka mingi sana, tumepitia mengi sana.
Yupo tena mkuuπ€£π€£π€£πππ yule mwingine mliachana au