Hivi sasa ni saa 4 usiku na madakika! Salamu kwenu wanajukwaa!
Katika jamii tunazoishi tunashirikiana na watu wengi sana, kila siku inapoanza maisha yetu yanahusisha kukutana na watu mbalimbali. Sasa utatambuaje kwamba mtu aliye karibu yako ni Psychopath au Serial Killer.
Pyschopath ni mtu ambaye ana shida ya kuwa na tabia za hasira (kali), chuki, na kukosa huruma. Inawezekana maana niliyoiweka hapa haijakidhi viwango. Basi nitaweka fasiri ya kimombo.
Psychopath is a person affected by chronic mental disorder with abnormal or violent social behaviour.
Kwa upande wa Serial killer yeye huwa na tabia ya kuua watu na huwa anafanya mauaji ya zaidi ya watu watatu.
Tukiwa kama wanajamii tutajuaje kwamba mtu tuliyekaa nae karibu ni psychopath au Serial Killer ili kujiweka katika usalama?
MICHANGO YA WANAJUKWAA
-

Reply ya Mbaga Jr
Mbaga Jr said:Ukimuona anavuta hewa ya oksijeni na kutoa kaboni ujue ndo huyo huyo anataka kukukili
-
Reply ya Intelligent businessman
Intelligent businessman said:Kaangalie the mouse, jamaa alikuwa na character mbili mpaka kuji jua ali pagawa
-
-
Reply ya DeepPond
DeepPond said:Serial killer wengi ni Watu WA kupenda misifa,
Kwa namna Moja za nyingin Lazma ataongelea Kwa Watu khs tukio alilolifanya.
Pia kuna namna atavitoa sn kasoro vyombo vya dola vinavyochunguza tukio ili vionekane ni vilaza.