jamani tunacho bishana ni nini hapa? LCD screen nyingi zinazoingia ni DTV (Digital TeleVision au HDTV (High-Definition TeleVision). hizi zote digital television ambazo zina inbuilt receiver. kwa mwenye TV hii haitaji kununua kingamuzi ili apate matangazo ya public tv labda kama anataka kupata matangazo ya channel za kulipia. Tv za zamani ambazo zina mgongo zote zilikuwa ni za analogy. na kwa vile wazambazaji wa masiliano ta TV walikuwa wanatumia technologia ya analog kurusha matangazo ndo maana tukawa na mfumo wa analog source to analog TV. Pia kuna warusha matangazo ambao walishaanza kutumia technologia ya Digital lakini kwa vile wateja wao wengi wanatumia analog Tv, ilibidi warushe matangazo ya kutoka mfumo wa digital kwenda analog (digital source to analog tv). Tunakoelekea ni kuwa option ya analog itafungwa rasmi decemba kwa watoa matangazo kwa vile wote watahamia digital ila watumiaji watasaidiwa kuendelea kutumia tv zao za analog kwa kupachika king'amuzi ambapo sources zote zitakuwa digita lakini wapokeaji watakuwa mchanyiko (yaani wale wenye analogy TV wakisaidiwa na ving'amuzi kupata matangazo (digital source to analogy TV kupitia ving'amuzi) na wale wa Digital tv (digtal source to digital tv). Angalia Jedwari hapo chini. hiyo row ya kwanza ndo itafutwa kabisa
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]Combination[/TD]
[TD]Result[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][SIZE=-1]Analog source to analog TV[/SIZE][/TD]
[TD][SIZE=-1]Analog picture (good)[/SIZE][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][SIZE=-1]Digital Source to analog TV[/SIZE][/TD]
[TD][SIZE=-1]Analog picture (better)[/SIZE][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][SIZE=-1]Digital source to digital TV[/SIZE][/TD]
[TD][SIZE=-1]Digital picture (best)[/SIZE][/TD]
[/TR]
[/TABLE]