Utata wangu

zungu santana

Member
Joined
Oct 14, 2014
Posts
23
Reaction score
18
MUHIMU.................................jaman hili la kuhakiki majina ni muhimu sana kuliko tunavofikiri maana nilikuwa ofisi cha chama chetu hapa singida mjini ukweli nimefarijika sana na jinsi walivojipanga.

kuna kata ya utemini ambayo waliojiandikisha ni 5267 ila majina yaliyoko kwenye kitabu ni 2460 sasa angalia tofauti ni 2807 majina hayapo hali kama hii unategemea nini?

pili kwa maelekezo ya tume na tangazo lao yanasema kila kata kutakuwa na BVR kwa ajili ya marekebisho mbona hakuna kitu kama hicho.

sasa hii ni kata moja tu katika mji wa singida mjini na kuna kata 17 je ni majina mangapi ambayo hayapo kwenye daftari la.mpiga.kura?????

je kwa taifa zima hali.itakuwaje au ndo goli la mkono hili????bila kuchelewa kwa pamoja tulifanyie kazi katika maeneo yetu kuzuia goli la mkono.

niwatakie uchaguzi mwema na wakati.mkiendelea kutafakari haya.

SAMBAZA UJUMBE HUU KADRI UWEZAVYO
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…