Utata wa Watanzania

sayi_bugise

Member
Jan 20, 2017
51
30
Kabla ya kufanya uchaguzi,Lissu akihojiwa na DW akasema uchaguzi huu ni kipimo cha kukubalika au kukataliwa kwa serikali iliyopo madarakani,baada ya uchaguzi na matokeo kuwa tofauti na matarajio,chaguzi ndogo huwa siyo kipimo kwa sababu chama tawala huelekeza nguvu zote huko.
 
Back
Top Bottom