Mheshimiwa napenda kuchangia hoja iliyopo mezani kama ifuatavyo. kwa kitaaluma mimi si daktari wala sijawahi kuwaza kuwa daktari ila nina machache ya kusema.Habarini wanajukwaa,mimi ni kama mzazi nimeamua nilete jambo hili mbele yenu ili kila mmoja kwa mtazamo wake aweze kuokoa kizazi chake kutokana na mashoga
Mimi nitajikita kwenye issue moja. issue ya tomato ile ya kuwekea kwenye chips.yes tomato hii hii...niko na mtoto sasa akawa anawashwa kwenye tundu la haja jubwa nikajua ni minyoo..nimempa dawa sana sasa ikawa haponi ilo tatizo...baada ya muda linarudi..sasa kuna siku nimeenda kumchukulia chips kwa kua anapenda sana na dada wa kaz hakuepo kumpikia..basi kigengeni nikakuta mtu anasema asiwekewe tomato kwakua zinawawasha watoto tundu la haja kubwa..basi pale ikaonekana hiyo issue hata muuza chips anaijua na hakuishangaa kama ilivyo mimi..nami nika elezea tatizo la mtoto wangu wakasema ni hizo tomato..na ni kweli anapenda chips na mitomato..ata kacholi na tomato..basi nikamuachisha utaratibu wa kula tomato kwa namna yoyote na tatizo LIKAISHA.
Sasa ikiwa kwamba serikali za nje zinalazimisha tu nchi yetu tukubali ushoga..na je watu watafanywaje kua mashoga? ..what if wanaeks vitu hata kwenye vyakula ili mtu ajisikie kuwashwa na kubongolewa??....inawezekana yako mengi ila hili moja tunaloweza kuliepuka ikiwa utajihakiki ni vizuri zaidi.
Asante.
Tanzania kwanza
Sema kituAiseee !!!🙌
kwa kweli hii tabia mbaya , mbovu na inayonuka ya kutafuta mchawi wa mbali hususani wazungu inatuzuia kuwa serious na kuwa tayari kukabiliana na matatizo yetu yanayosababishwa na mifumo mibovu ya ndani—kama vile kuimarisha ukaguzi wa ubora wa vyakula unavyofanywa na mamlaka zetu (TBS na TFDA/TMDA) ili kulinda walaji.Tomato zinatengenezwa hapo iringa na wabongo, ukishindwa kuyaface matatizo yako na kusingizia wazungu utakuwa mgonjwa wa akili.
Badili hiyo id yako walau isomeke Muwasho2030Habarini wanajukwaa,mimi ni kama mzazi nimeamua nilete jambo hili mbele yenu ili kila mmoja kwa mtazamo wake aweze kuokoa kizazi chake kutokana na mashoga
Mimi nitajikita kwenye issue moja. issue ya tomato ile ya kuwekea kwenye chips.yes tomato hii hii...niko na mtoto sasa akawa anawashwa kwenye tundu la haja jubwa nikajua ni minyoo..nimempa dawa sana sasa ikawa haponi ilo tatizo...baada ya muda linarudi..sasa kuna siku nimeenda kumchukulia chips kwa kua anapenda sana na dada wa kaz hakuepo kumpikia..basi kigengeni nikakuta mtu anasema asiwekewe tomato kwakua zinawawasha watoto tundu la haja kubwa..basi pale ikaonekana hiyo issue hata muuza chips anaijua na hakuishangaa kama ilivyo mimi..nami nika elezea tatizo la mtoto wangu wakasema ni hizo tomato..na ni kweli anapenda chips na mitomato..ata kacholi na tomato..basi nikamuachisha utaratibu wa kula tomato kwa namna yoyote na tatizo LIKAISHA.
Sasa ikiwa kwamba serikali za nje zinalazimisha tu nchi yetu tukubali ushoga..na je watu watafanywaje kua mashoga? ..what if wanaeks vitu hata kwenye vyakula ili mtu ajisikie kuwashwa na kubongolewa??....inawezekana yako mengi ila hili moja tunaloweza kuliepuka ikiwa utajihakiki ni vizuri zaidi.
Asante.
Tanzania kwanza
Hata Dar Kuna kiwanda cha tomato sauce,Tomato zinatengenezwa hapo iringa na wabongo, ukishindwa kuyaface matatizo yako na kusingizia wazungu utakuwa mgonjwa wa akili.
Kwa hiyo ikiwawasha solution ni moja tu🤣Hata Dar Kuna kiwanda cha tomato sauce,
Mashoga wajaalaana watapata kisingizio kingine baada ya kile cha kuwa na homon za kike,
Kwamba wanawawashwa kwa sababau ya tomato sauce,
Wewe ni Clinical officer sio daktar acha sifa za kijinga na diploma yako ya angalau d4Mheshimiwa napenda kuchangia hoja iliyopo mezani kama ifuatavyo. kwa kitaaluma mimi si daktari wala sijawahi kuwaza kuwa daktari ila nina machache ya kusema.
ieleweke kuwa kuna sababu za kisayansi na kiutafiti zinazoeleza kwa nini sosi hizo husababisha hali hiyo:
- ya kwanza uwepo wa asidi Nyingi (High Acidity): Nyanya hizi mnazotumia kiasili zina kiwango kikubwa cha asidi, na kwenye sosi za viwandani huongezewa siki (vinegar) ili zisiharibike. Asidi hii isipomeng'enywa kikamilifu tumboni, inapotoka wakati wa haja kubwa huwasha na kutesa ngozi laini na nyeti inayozunguka tundu la haja kubwa.
- pili kuna issue ya vihifadhio na Viungo (Preservatives and Spices): Sosi nyingi za chips huwekwa kemikali za kuhifadhi chakula, rangi, na wakati mwingine pilipili au viungo vikali ambavyo husababisha mzio (allergy) au mwasho (irritation) kwenye mfumo wa mwisho wa haja kubwa, hasa kwa watoto ambao ngozi zao ni laini sana.
- na tatu aina ya tomato Sosi (Local Processing): tomato Sosi nyingi zinazotumiwa kwenye maduka ya chips hupikwa kienyeji au kununuliwa kwenye madumu makubwa ambapo usafi au viwango vya kemikali vinavyowekwa havijathibitishwa, hali inayoweza kuongeza mwasho huo
- Nb badili hiyo Id yako , imekaa kikuda sana.
bora hata ningekuwa CO, mimi ni mfanya usafi tu kutoka kampuni ya KajenjereWewe ni Clinical officer sio daktar acha sifa za kijinga na diploma yako ya angalau d4