Naomba ufafanuzi toka kwa watu wazima wenzangu..
Nina mke ananipa haki yangu ya ndoa mara tatu kwa wiki...lakini nashangaa pamoja na kupewa yote lately siridhiki na mwanamke mmoja maana nakuwa namtaka sana kiasi kwamba naona wakati mwingine kama Inakuwa too much...
Je suala hili linahusiana na umri maana Kabla niliweza ridhika tu na hizo mara tatu
Sasa hivi nina moto sana na haya mambo in short mtu mmoja hanitoshi..Tatizo ni umri au nina matitizo binafsi..
[HASHTAG]#Ushauri[/HASHTAG]