- Thread starter
- #41
HahahahahahUkapimwe mkojo wewe
*R.I.P my fellow classmate Nassoro Kipande*
HahahahahahUkapimwe mkojo wewe
*R.I.P my fellow classmate Nassoro Kipande*
Tulia mkuu...povu lanini..?Umeshakaa na mkeo na kuzungumza naye?kama bado,wewe ni mpuuzi!nonsense!
Sijakuelewa mkuuChukua form hiyo namba 34a
Kenya hiyo,mbona haupo updated mkuuSijakuelewa mkuu
Hiyo hali ipo kwenye akili yako. Acha mawazo ya kutoridhika anza kuridhika b4 tendo.
Bwahahahahahaha
Kwani asipo jieleza hawezi kudandia tuu.Mwambie mkeo tatizo lako
Huwezi jua anaweza akakupa zaidi ya anavyokupa sasa
HelooCuzii,...??
Kwa kiswahili tafadhali,samahani lakiniVizazi vya kondom
Don't put all egg on one Basket
Sina jini Mimi ila sema mi mtu wa mazoezi sana pia najali sana chakula cha asili sili hovyo.. Mimi na vyakula vya mafuta hatujuani kabisa...Pia situmii dawa yoyote ya kuongeza NguvuMmh au ndio madawa yenu ya nguvu za kiume mnazokunywa usije ukamuua bure mdada wa watu kama si hivyo utakuwa na jina mahaba
he he hee,kila mtu na kichwa chake hapa duniani.Mwambie akupe ama akuoneshe form 34A na 34B.
Asikufichie sana Haki yako....
Sent using Jamii Forums mobile app