Utata wa maneno haya.

Utata wa maneno haya.

KOKUTONA

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
8,651
Reaction score
6,110
Haya wana chit chat mis u jamani. Long time

Nilikuwa kwenye shughuli moja ilijumuisha watu wengi tukifanya teammworking. Sasa basi wakati kazi inaendelea kuna maneno ambayo watu walikuwa wakiyaongea wakiwa na maana safi kabisa but watu either walikuwa wanashangaa au wanakauka kucheka. Km ifuatavyo;
1. Hebu chomoa
3. Ingiza yote
4. Wewe umeshaifikia KILELENI (jina la shule)
5. Nifanyie hii hesabu.
6. Jaribu kwa nyuma.
7. Jaribu kuzinasisha.
8. Lamba mate, lamba mate kazi iende.

Haa watu weee, unaweza kutoa tafsiri rasmi na tafsiri isiyo rasmi ya visentensi hivi, ukihusisha na mambo yetu yalee
 
Ngoja waje wajuzi wa semi za kiswahili ambacho hakijatoholewa.
 
Hii ndiyo CC kwani member wote wa hapa msihamie jukwaa la kikubwa????
 
Hahahahahahahahahahahahaha


KOKUTONA muda mwingine utata wa maneno au neno unategemea mwanzo na mwisho wa kufikiri.
Haya wana chit chat mis u jamani. Long time

Nilikuwa kwenye shughuli moja ilijumuisha watu wengi tukifanya teammworking. Sasa basi wakati kazi inaendelea kuna maneno ambayo watu walikuwa wakiyaongea wakiwa na maana safi kabisa but watu either walikuwa wanashangaa au wanakauka kucheka. Km ifuatavyo;
1. Hebu chomoa
3. Ingiza yote
4. Wewe umeshaifikia KILELENI (jina la shule)
5. Nifanyie hii hesabu.
6. Jaribu kwa nyuma.
7. Jaribu kuzinasisha.
8. Lamba mate, lamba mate kazi iende.

Haa watu weee, unaweza kutoa tafsiri rasmi na tafsiri isiyo rasmi ya visentensi hivi, ukihusisha na mambo yetu yalee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom