nyandaojiloleli
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 205
- 18
hiyo ndo solution hakuna kitu kingine kitakachomaliza ubishi.Wampime meno, kutumia carbon14 hapo ubishi utaisha.
Nani hajui Tz hapa vyeti vya kuzaliwa vinachongwa kama pipi.
Twende kwa scientic proof, wasipoteze muda kwa kitu kidogo, wakati njia ya kumaliza utata ipo.