Utata wa choo cha kukalia katika twin room za Hotel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utata wa choo cha kukalia katika twin room za Hotel

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Opaque, Sep 20, 2012.

 1. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Niliwahi kwenda Asia kwenye training fulani. Katika Hotel ya 3-star tulipangiwa watu wawili wawili kwenye room moja, japo kila mmoja alikuwa na kitanda chake (Twin Room). Of course ilikuwa ni hotel nzuri sana na huwezi kudhani kama ni 3-star, haraka haraka unaweza kusema ni 4-star.

  Mimi nilipangiwa kukaa na jamaa mmoja wa Mauritius, na ilikuwa ni bahati kwamba wote ni waafrika wastaarabu. Utata ulikuja wakati wa kutumia choo cha kukalia. Changamoto niliyoipata inabidi tufahamishane hapa; hivi wengine huwa mnamudu vipi kutumia choo cha kukalia? Nadhani swali langu limeeleweka.

  [​IMG]
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  mbona ulivyokuwa mdogo ulikuwa unajisaidia kwenye pot ... sasa umekua unajifanya mjanja
   
 3. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,709
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  museme na age zenu wengine miaka tuliyo kuwa wadogo hizo pot hazipo hapa bongo ,mpango mzima ni kama hivi panachimbwa-unashusha zege -panafukiwa habari kwisha!
   
 4. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Poti inatumiwa na mtu mmoja, au wewe una~share pot na mwanao? Elewa swali.
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  katika moja ya mitihani ni vyoo vya kukaa.... Na ndo sehemu ambapo wanawake wanaondoka na shehena ya UTI
   
 6. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kwani ofisini kwenu kuna choo cha aina gani,utakuwa mwanKatavi mwenzngu wewe
   
 7. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Hakuna kitu sikipendi kama Choo cha kukaa..NI vema kitumike kwa Mke na Mume.UKIANZA KUNYA MAJI YANAKURUKIA MATAKONI bila ridhaa Yako
   
 8. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  .............mie hutumia papers nyingi sana ! kwanza napanga papers ktk shimo, kisha sehemu ya kukalia, halafu naendelea. However naenjoy sana cha kuchuchumaa !
   
 9. Prophet

  Prophet JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Inategemea unakitumiaje. Si rahisi kurukiwa kama unakikalia kwa mashaka mashaka.i Kwanza kunakiwa na plate ya juu ambayo unaishusha ndo utumie. Ukimaliza unakinyanyua.
   
 10. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  duh kumbe tupo wengi tunaopata adha ya choo cha kukalìa. duh, me ofisini kwetu kuna vyoo vya kukalia na hata home kwenye masterbedrum thou ni nyumba ya kupanga. ila home kuna public toilet pia.. home huwa natumia kile kile cha public. hata nisafishe aje siwezi kuwa comfortable kukaa. ofisini kiukweli huwa nainama wakati nasusuu. labda nipate mchafuko wa tumbo ndo nilazimike kukata gogo ofìsini. . . lakini mara nyingi huwa nakata gogo home!
   
 11. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  ...Sina haja ya kunywa kidonge chochote ninapokuwa na stress! All I have to do is to Open a few JF pages and..Voila! I am Happy! Comrades, You have made my Day! Thank You.
  :smiling: :biggrin: :lol: :pound: :pound:
   
 12. G

  Ginner JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  waulize wakazi wa udsm hall 2 na hall 5 mabweni yenye wakazi zaidi ya 1000 na bado wanashare vyoo vya kukalia..
  kiukweli nilikuwa na maisha magumu sana pale chuoni hasa nikiwa nimebanwa na ukute maji yamekatika au hayapandi floor za juu ni ugonjwa wa moyo kwakweli
   
 13. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  jf neva be boling
   
 14. H

  Helios JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  kuna sanitizers unasafishia then unakaa unakata gogo. otherwise unasafisha na sabuni kile cha kukalia n u do ur thing. pia kutandaza toilet pepa inafanyika
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hivi vyoo vya kukaa ndio vikoje? Huku kwetu Kabungu havijafika.
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Hivi umri huu naweza kushare room na mtu, tena a total stranger?
  Hao wenye training ningewanyofoa makoromeo kama nisingefikia makorodani!
   
 17. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mwenzangu kumbe nimedandia gari kwa mbele tena kwenye mteremko wa Lyamba lya Mfipa maana hata mie sijui choo cha kukaa nimejiingiza chaka kweli
   
 18. Githeri

  Githeri JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 820
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Una maanisha nini?
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Unashushaga mvua ya mawe?
  Sipendi asian type toilet!
  Ruaha national park kwenye tourist bandas kuna vyoo vya shimo vimejengwa vizuri na seat toilets za mbao saafi! Na mijusi inayopita nje, nilikuwa nahisi ntarukiwa from the toilet nibakwe na mjusi, hehehe
   
 20. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Waswahili wamesema "wamoja havai mbili".
   
Loading...