Utata, upotoshaji na ukweli unaouma kuhusu 'The Da Vinci code'

Taratibu ndugu yangu, habari nyingi ziwe nzuri au mbaya tunazipata kwenye vitabu iwe vya sasa au vya zamani, unaposoma vitabu akili yako inchambua na waweza kujua jambo gani katika kitabu hicho limefanyiwa utafiti na lipi limepachikwa tu.

Issue ya dini ni very sensitive na watu wanaposoma habari kuhusu matukio na uchambuzi kuzihusu hua hawasomi with free mind, tunakua tunafunikwa na imani kwa hiyo inakua vigumu kujiuliza maswali ambayo mengine yapo wazi tu.
 
hahahahaha mkuu nikisoma(ga) hadithi za mtume naona porojo tu, wanasema mtume alitabiriwa utume wake na mganga wa kienyeji
 
umeongea pumba nyingi
umeongea pumba nyingi badala ya point,wewe ni mfia dini warabu wamekuaribu.soma vzr mada inahusu nini uchangie kutokana na mada
 
hahahahaha mkuu nikisoma(ga) hadithi za mtume naona porojo tu, wanasema mtume alitabiriwa utume wake na mganga wa kienyeji
prove unachoongea!!!!!!!......... maana mtu wa kwanza kumtabiria mtume MUHAMMAD utume wakati akiwa mdogo kabisa alikua ni PADRI BAHIRA sasa nashangaa mnavyotunga mambo yasio na uhakika wowote ama kithibitisho chenye nguvu.......
 
umeongea pumba nyingi

umeongea pumba nyingi badala ya point,wewe ni mfia dini warabu wamekuaribu.soma vzr mada inahusu nini uchangie kutokana na mada
prove me wrong.....sio na wewe una reply then unashindwa kuprove kilichoandikwa kuwa ni uongo ama kweli unabaki kutoa mapovu tu........FICHA UJINGA ONESHA BUSARA ZAKO!!
 
prove me wrong.....sio na wewe una reply then unashindwa kuprove kilichoandikwa kuwa ni uongo ama kweli unabaki kutoa mapovu tu........FICHA UJINGA ONESHA BUSARA ZAKO!!
hujui agano la kale ni nini agano jipya ni nini.eti new version hapo unaonyesha kabisa unafikiria kutumia mhe masaburi.acha kuongea mambo usiyoyajua
 
hujui agano la kale ni nini agano jipya ni nini.eti new version hapo unaonyesha kabisa unafikiria kutumia mhe masaburi.acha kuongea mambo usiyoyajua
unashindwa kuendana na level za vitu vilivyooneshwa kwenye comment ile.........prove sasa kwamba agano la kale lilitokea wapi na jipya lilitokea wapi?......kutokana na kuwa upande wa uislamu ni sharia mojawapo ili uwe muislamu kamili ni lazima ukubali kuviamini vitabu vyote vinne vya mwenyezimungu....
1.ZABURI
2.INJILI
3.TAURATI na
4.QURAN......kuwa vitabu vyote hivyi ni vya mwenyezimungu...na kila kitabu kilishushwa kwa UMATI(JAMII) flani kwa kipindi flani na kila kitabu kikaja kubadilishwa kutokana na kupatikana kwa kizazi kingine.....na hizi ndizo zilizokuwa UMMA na vitabu vyake kama ifuatavyo..
1.ZABURI...ilishushwa kwa ummat wa NABII DAUDI(a.s)
2.INJILI......ilishushwa kwa ummat wa NABII ISSA(a.s)
3.TAURAT...ilishushwa kwa ummat wa NABII MUSSA(a.s)
4.QURAN....ilishushwa kwa ummat wa NABII MUHAMMAD(s.a.w)

kwa hiyo unaposema kuwa silijui agano jipya wala lakale unatakiwa uprove kuwa kweli silijui.....wote tunakubaliana ya kuwa INJILI=BIBLIA kama muitavyo nyinyi japo BIBLIA imebadilishwa sana sio INJILI halisi....INJILI ni moja tu na haina matawi ya kuwa na injili ya kale wala mpya..ilishushwa INJILI MOJA na sio INJILI MBILI na kama unataka kuonesha kuwa injili zipo mbili(agano la kale na jipya) basi tuoneshe ni umma gani ulikua na agano la kale na ni upi una agano jipya....kwa hiyo 100% UKRISTO wa sasa na INJILI ya sasa ni ZAKUBUNIWA sio HALISI....prove me wrong..na sio kuleta point za kukaririshwa!!!!!
 
Tupe mapungufu ya quran pia ili tuweze kujadili maana yapo mengi na hayo uloongelea kwenye biblia in kutokuelewa kwako tu.
Quran ref(2:2) "THIS IS THE BOOK WITHOUT ANY DOUBT INSIDE OF IT"......'hiki ni kitabu kisichonashaka ndani yake'...................katika kitabu ambacho kinaeleweka na mapungufu kuonekana bila kujificha ni BIBLIA....ni nan ambaye ataisoma BIBLIA naakashindwa kuelewa....mbona kama unataka kuipa sifa zisizo zake(UMEIVISHA KILEMBA CHA UKOKA)
 
Nakuja na coment nyingi jaman mimi na jamii forum dam dam
 
prove unachoongea!!!!!!!......... maana mtu wa kwanza kumtabiria mtume MUHAMMAD utume wakati akiwa mdogo kabisa alikua ni PADRI BAHIRA sasa nashangaa mnavyotunga mambo yasio na uhakika wowote ama kithibitisho chenye nguvu.......
Alitabiriwa au alikuwa anasukwa huko Vatican???

Uislam ulienezwa na wakatoliki wenyewe ndio maana unaona padri alimtabiri.
 
Niliangalia hiyo move kipindi imetoka davinci code yaani yesu yuko uchi tako linaonekana huku ana watoto kijiji. Yaani anatumia kiungo chake cha uzazi tofauti na injili NNE za kwenye bible. Ana onekana kidume hasa
 
Niliangalia hiyo move kipindi imetoka davinci code yaani yesu yuko uchi tako linaonekana huku ana watoto kijiji. Yaani anatumia kiungo chake cha uzazi tofauti na injili NNE za kwenye bible. Ana onekana kidume hasa
 
prove unachoongea!!!!!!!......... maana mtu wa kwanza kumtabiria mtume MUHAMMAD utume wakati akiwa mdogo kabisa alikua ni PADRI BAHIRA sasa nashangaa mnavyotunga mambo yasio na uhakika wowote ama kithibitisho chenye nguvu.......
Huyo hatoweza kukujibu maana ndo warukaruka kama maharage jikoni hao
 
Labda mkuu uweke wazi katika injili mbili ipi imetofautiana na nyingine? Je zote zilishushwa nyakati moja (kwa kila dini). Na kama sivyo una maoni gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…