Utata tcu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utata tcu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kdany, Aug 15, 2012.

 1. k

  kdany Senior Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wakuu habari,nmefungua acc.yangu ya tcu kwa kutumia computer nikakuta wameniandikia "your are addimitted"bt nimekuja ku login tena kwa kutumia simu ya sioni chochote,kuna anaweza kuni dadavulia hapo au kuna mwngne mwenye tatzo km langu.
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Simu sio kombunta kijana. angalia chini ya my profile utaona
   
 3. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  kwani mkuu ninga ume apply vyuo gani na kozi gani tuambiane kaka by MPIGAMSULI
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nime ku PM
   
 5. n

  newton001 New Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi tcu shida ni nini maana nimemsikia jana waziri alixema selection ziko tayari sasa ni kwa nini msiyatoe hivi hamjui kuwa yalivyo leak yale ya udsm ndo mmehamsha morari ya watu iliokuwa INASUBIRA sasa mngefikiria zaidi na mngeamua kutoa selection zote KIUJUMLA.Vile vile kuna kitu kingine kinachowapa watu MORARI na kufanya WACHOKE KUSUBURIi ni hili la jana la YOUR ADMITTED kwenye profile utamwambiaje mtu amekuwa admitted bila kujua ameadmited chuo gani so mimi niseme hivi ingekuwa vizuri kama mngetoa selection kwa watu wote waliopata chuo halafu asioona jina lake ndo aapply tena maana watu wameshachoka wamechoka kabisa yaani kabisa kabisa jipangeni!!!!!!!!!!!
   
 6. J

  Jaylone New Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dats true 2nazinguliwa
   
 7. m

  mableble de ankole Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani hawa watu wana micomputer slow sana yaani system zao nzima hazijisomi
   
 8. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  haaaahahaha...msela hapo ndo ushachaguliwa kwenye 1st selection kua mpole watangaze officially!!!!
   
 9. 1

  12vigor Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  tangulini jumanne ikawa jumatano na jumatano ikawa alhamisi hii inamaanisha kwamba system za tcu zina ahadi ya kiswahili.there is no need of having tcu anyway
   
Loading...