Utata na Ufafanuzi kuhusu Cut off points na Minimum entry qualifications za kujiunga Chuo kikuu

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
359
Baada ya matokeo ya kidato cha sita kutoka jana leo kumekuwa na thread nyingi ,vijana wengi waliohitimu wakijaribu kutafuta ushauri kutokana na alama walizopata

Lakini moja ya tatizo nililo liona ni watu kuwa na uelewa mdogo kuhusu suala la cut off points

Tusichanganye kati ya Principal pass na minimum entry qualifications

Somo lina haki ya kuhesabiwa kwenye cut off point ikiwa tu ni principal pass sasa je E ni principal pass?wenye uwezo wa kusema alama ipi ni principal pass ni NECTA

Mchanganuo wa NECTA kuhusu grades upo hivi
Advanced Certificate of Secondary Education Examination results are indicated by letter grades as follows:

A indicates Excellent
B indicates Very Good
C indicates Good
D indicates Satisfactory
E indicates Satisfactory
S indicates Subsidiary Pass
F indicates Fail
Grades: A, B, C, D and E are Principal Passes while grades S is Subsidiary and F is Fail
02991222bcd6364393971e4cd3d662ca.jpg

Tuje kwenye minimum entry qualifications
-TCU ambao ndio wanaoeka sifa za mtu kujiunga chuo kikuu waka set minimum entry requirments za kuingia chuo kikuu kuwa points 4 kwa kutumia muanisho wa
A=5,B=4,C=3,D=2,E=1
Kwa maana hiyo mtu atakae kua na points ndogo zaidi ni yule mwenye aidha DD au EC
23be934abde525a161986e730908d07c.jpg
 
Shukrani kwa ufafanuzi mkuu, umetupunguzia mzigo wa maswali kwa hawa ndugu zetu
 
Hapo mbona kuna ukakasi vip na mwenye E, E, D, ya CBG

Post sent using JamiiForums mobile app
 
huyo ana principal pass mbili ambazo zina points 3 kwa hiyo hajafikia minimum points 4
Umeeleza vyema mkuu, tuwasaidie wadogo zetu ili wasijepoteza pesa bure za application ya degree, badala yake waombe diploma mapema kabla ya deadline.

"Do not compete with any one, do the best to become the best"
 
HIV kuomba degree mfumo ni ule ule wa CAS au umebadilika?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
HIV kuomba degree mfumo ni ule ule wa CAS au umebadilika?

Post sent using JamiiForums mobile app
Kila chuo kina mfumo wake, na baadhi ya vyuo wameanza kutangaza. Fuatilia matangazo kupitia media mbalimbali.
 
na huyu mwenye bde 2014 amequalify ama magumashi
 
Kila chuo kina mfumo wake, na baadhi ya vyuo wameanza kutangaza. Fuatilia matangazo kupitia media mbalimbali.
Asante mkuu kwa kumpa jibu, I'll vyuo vimeshauliwa kuachana na mfumo wa kudaili kwa hard copy document na badala yake vitumie OLAP-online Application System. Maana Admission Officers watatakiwa ku-verify matokeo ya mwanafunzi kutoka moja kwa moja NECTA kwa mtando uliounganishwa na wa CHUO na NECTA, nia ikiwa ni kuondoa udanganyifu wa applicants. Na wale walio maliza diploma nao watahakikiwa moja kwa moja toka kwenye mtandao wa NACTE uliounganishwa na wa CHUO.

Admission ya mwaka huu sio lelemama.

Mfano Mkuu Mimi mwaka janaa nilipata DEE ya PCB mwaka huu nimerisit nikapata DE je napata chuo au nijiandae kuuza genge?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mfano Mkuu Mimi mwaka janaa nilipata DEE ya PCB mwaka huu nimerisit nikapata DE je napata chuo au nijiandae kuuza genge?

Post sent using JamiiForums mobile app
Unapata

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom