Utata kuhusu loan allocation kwa udom tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utata kuhusu loan allocation kwa udom tu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mao ze dong, Sep 20, 2012.

 1. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Jamani naombeni wale wa udom tueleweshane kuhusu hili hasa wale mliopo dom ambao ni rahisi kupata habar za chuo coz wengine tupo nje ya tz na kupitia humu tunapata habar zote

  UTATA
  1.Kuna fendha iliyotakiwa kulipwa as direct cost kabla ya tr 30,ambayo ni 182500 je pesa hii kwa mtu aliyepata 100% atahitaj kuilipa?
  2.katika hiyo direct cost hamna hela ya hostel kama walivyoorodhesha,je ela ya hostel 130000 tunailipa sisi au inakua included kwenye ela kutoka bodi?
  3.kama haipo kwenye ela kutoka bodi,je tutaijumlisha kwenye ile 182500?
  4.katika direct cost kuna ela ya matibabu kama 122000 kama sikosei,je ela hii inalipwa hata kama mtu unakitambulisho cha afya(NHIF)?
  5.je kama huna kitambulisho cha afya,utalazimika kukata kitambulisho na kulipa hiyo ada ya matibabu?
  6.je kwa waliopata mkopo mf asilimia 50 na kwenye maelezo yao wanasema ulipe nusu ya tution fee,mf kwa mtu wa mil 1 atatakiwa kulipa 500000 je atalipa hiyo ela as 500000 au atalipa 250000 kutokana na mkopo aliopata,yaani 50%?
  7.je hela ya tuition fee ina deadline au unaweza lipa siku yoyote kabla ya kuwasili chuo?
  8.kwa aliye na nambazao pia akinisaidia siyo mbaya
  9.je ile laki mbili ya library unapewa pamoja na ela ya chakula?
  10.inachukua muda gan kabla ya kuapokea loan?
  Naomba msaada kwa unaefaham moja ya vitu hivyo.nimepata 3777500 na fee yangu ni 1.2mil hapa sijajua natakiwa kujilipia sh ngap kutokana na kuwepo kwa mkanganyiko kuhusu iyo ela ya hostel kama inatoka kwetu au bodi.kwa mnaoendelea na masomo mnaweza kutusaidia pia
   
 2. j

  jackson george Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  iyo direct fees aiusiani na loan u hav to pay it even u got 100
   
 3. K

  Kiny JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  We umethink kweli ngoja tusubiri wanajukwaa vipi ilycalpse we unahabar gan?
   
 4. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kaka heading yako co cri imeshi2a mioyo ya wa2, jaribu kufikilia mara 3 b4 haujapost, sory kama nitakuwa nimekukwaza, ila ndio uhalisia huo,

  ngoja wanaudom waje wakusaidie maana hizo number zinazokusumbua hatujui za nini, labda kama ungetoa ufafanuzi vizuri
   
 5. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,872
  Likes Received: 4,712
  Trophy Points: 280
  Nitakujibu kadiri ya uelewa wangu ingawa me mwenyewe ndio tunaenda kuanza wote.
  1. Direct cost zimetofautiana kidogo ila kwa collage ya Humanity and Social Science ni 282500 ambayo inatakiwa ilipwe kabla ya Sept 30 pia haijalishi una mkopo kiasi gani iwe 0% au 100% unatakiwa uilipe.

  Kuhusu bima ya afya nadhani tukifika chuo ndio tutapewa utaratibu kwasababu chuo kinatakiwa kikudhamini.

  Kuhusu hela ya loan kuwahi au kuchelewa hilo sijui but admission letter imesisitiza kujiandaa pesa ya matumizi wakati unasubiri boo yaweza kua wiki 2.

  Kuhusu utaratibu wa ulipaji mfano ada yako ni 800,000 na loan wamekulipia 50% utatakiwa kuilipa hiyo 50% nyingine eidha yote yaani laki 4 au 1st Semista ukalipa laki 2 na 2nd Semista ukamalizia laki 2.

  Mambo mengine itabidi ufanye mazoea ya kutembelea The University of Dodoma mara kwa mara pia kama kuna vikwazo PM tafadhari.
  Ahsante.
   
 6. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,872
  Likes Received: 4,712
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha kaka mimi ni IPYCALYPSE nadhani next time utaandika poa.
  But tuko pamoja sana mkuu Kiny
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
   
Loading...