Hizo ni taratibu za kibenki, unapotumiwa pesa lazima uprovide information za wapi utalipwa pesa zako, lets say crdb, ilam lazima ujue, CRDB wanamantain account na CITI US33, so lazima pesa yako atakayeilipa lazima atoe instruction kuwa hizo pesa zilipwe kwenda CRDB.
So bank aliyolog hizo instruction watailipa citi us 33 na kuwaambia wadebit acc ya bank iliyotuma na kucredit crdb bank, na hii itawezekana kama bank iliyotuma pesa (applican bank ina acc na citi if not lazima atafutwe intermidiary bank mwingine atakayefacilitate pesa zinafika.
So kuna mambo mengi yakuzingatia ili pesa ifike (applican bank-------intermediary bank---beneficiary bank) the bank in between must have a relation with applicant and beneficiary bank if not another bank need to be included in btn as sec intermediary bank, lakini kama haya mambo yamepangiliwa vizuri na account za benki hizo zina balance ya kutosha pesa uliyotumiwa, pesa zinafika kulingana na applicant bank ilivyoinstruct.
Iinaweza kuwa siku hiyohiyo account ikadebitiwa or tom orspot (48hrs)kwa suala la charges kuna namna tatu inategemea na jinsi alivyotuma akisema sha means charges has to be shared wewe unabear charges zote ndani ya nchi na aliyetuma analipa zote nje ya nchi, akisema ben means beneficiary is responsible for all charges in and out na our means charges zote zinalipwa na wao waliotuma!nadhani atleast umepata picha kidogo!