Utata kifo cha Annele, mapya yaibuka...

Hisia za kuchapiwa ni mbaya sana..
 
Hii tabia ya wadada kuingia kwenye mahusiano na wanaume wavuta Bangi, Wala ngada, Walevi inawagharimu sana. Nashindwa kufahamu wanakwama wapi, yani wenyewe wanachukulia ni mazingira ya kawaida tu.

Ndio wadada wa mjini wanachopenda ili waonekane wanakwenda na wakati.
 
Tamaa ya pesa inawaponza. Wadada wengi huwa hawataki kutumia pesa zao hata km wanazo. Wenyewe wakiona mtu ana gari, fedha, nyumba kali n.k wao hata hawajiulizi wanaingia kwenye mahusiano.
Matokeo yake ndiyo hayo
Hii tabia ya wadada kuingia kwenye mahusiano na wanaume wavuta Bangi, Wala ngada, Walevi inawagharimu sana. Nashindwa kufahamu wanakwama wapi, yani wenyewe wanachukulia ni mazingira ya kawaida tu.
 
Wasouth Afrika uhalifu unawamaliza pazuri ila sio sehemu salama kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…