Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

leo asubuhi nilickia Ea radio wakiongelea hii makala yani wamepita mulemule cjui wanacopy hku...?!
The bold
 
Kwa maelezo haya nakataa kwamba mzungu hamjui aliemuuwa Rais JF Kennedy,yaani wanavyojua kuumiza vichwa eti tuambiwe aliemuuwa ni mfanyakazi wa jengo sijui la shule la kutunza vitabu?big no....tena wangeanza na huyo mshauri wa Rais kwa kutoa maagizo ya kijinga pia wale agents waliokubali matakwa ya mtu asiyekuwa na idea na masuala ya kiusalama,kisha waunge dots kwa huyo Ditopile wa Ki-American Ruby naamini case ingekuwa closed kitambo!mkuu the @bold nashkuru kwa kutuchangamsha bongo zetu.thanks in advance chief.
 
Maisha hadi ya kesho ya hii Dunia kiasi kikubwa sana 95% imepangwa na hawa wazungu koko.

Ni hakika kabisa kuwa wanaelewa game zima lilivyochorwa na kutekelezwa.

Ukiwa nje ya mfumo huwezi elewa yaliyomo kwenye mfumo vinginevyo labda mtu akunchungulishe kwenye mfumo ili uone yaliyomo.

Wazungu koko, siyo kama mabara mengine haya yanayotegemea ramli na juju.

Mfano, angalia avatar yangu hapo utaelewa madhara ya ramli.

Kwa hiyo, wazungu koko waliamua kabisa kumpoteza rais wao.
 
Kwa mujibu wa maelezo haya muuaji wa aliewahi kuwa Raisi wa Amerika atakuwa ni Mu'Amerika mwenyewe ,ila sisi Raia tunamwagiwa Ukweli kiduuchu na Uongo meingi ili Mwishowe tukose majibu na kuungana nao ktk mbiu wanayo ipiga kutoka wakati huo mpaka sasa..
 
Samahani Mkuu.
Tatizo hukutujulisha maana tushakuwa watumwa kila siku twapita angalia hakuna kitu
Ila all the Best
Samahani tena
Hukuwa na sababu ya kutamka kuwa mwanaume mwenzio anaringa, kwani hakuna anaemlipa kwa story atupazo humu.

Ukiona mtu anajitolea ili tu akufurahishe, basi huyo hupaswi kumletea maneno yenye maudhi kama uliyotoa

Ila nikupongeze kwa kutubu kwako maana nilikuwa nishakuweka kwenye list ya wanaume wenye wivu wa kike

Amani.......[emoji111] [emoji109]
 
Hakukuwa na haja ya kuweka makala nyingi kwa wakati mmoja
Mshika mawili moja humponyoka, hii makala umeiacha na kuisusa kabisa mwezi sasa umepita hamna mwendelezo
Ni bora usingeiweka JF kama hujaikamilisha.

Ni mtazamo wangu tu.
 
Back
Top Bottom