Haitokaa uje usikie wametoa siri za kuhusika kwao na mauaji ya John F. Kennedy na kaka yake Robert F. Kennedy.Ila Bill Clinton alishatoaga hii order na mwisho ni September tu hapo. Mara tunasikia paaap yule director wa CIA aliyetumbuliwa ndiye alikua MKUU wa mission nzima.
Hivi mkuu kaka yake Robart ni yule aliyepotea akiwa anaendesha ndege...??Haitokaa uje usikie wametoa siri za kuhusika kwao na mauaji ya John F. Kennedy na kaka yake Robert F. Kennedy.
Yule ni mwanae JFK anaitwa John F. Kennedy JrHivi mkuu kaka yake Robart ni yule aliyepotea akiwa anaendesha ndege...??
Daaah asa kwanini John junior na dadaake walitunguliwa??Yule ni mwanae JFK anaitwa John F. Kennedy Jr
Robert aliuwawa akiwa katika kampeni za Urais mwaka 1968
Duh hata wewe mkuu??Jamaa anaringa labda anataka tujiunge na group lake
Duh hata wewe mkuu??
Mpaka sasa nimeandika thread 35 humu Jamii Intelligence... Ukisema naringa najiuliza ni busara gani unatumia kufikia maamuzi ya kutamka hilo...
Anyways, wanasema "ukubwa lawama"... Dizaini nishazoea sasa! It comes with the territory..