Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,214
- 20,988
- Thread starter
- #21
Form iv ambaye ni koplo kua afisa nahisi mpaka yawe maagizo kutoka ngazi za juu either Rais au waziri husika.Mm ni raia ila nilibahatika kuishi kambini kama miaka 20 iliyopita maana Mzee wangu alikuwa mwanajeshi hivyo kidogo nina ufahamu na mambo madogomadogo ya wanajeshi wetu.
Ninachojua kuhusu vyeo ni kwamba askari akishaanza na V begani basi ni ngumu kufika kwenye nyota sana sana ataishia kuwa Sir meja au kolokolo 1 & 2, pia form vi waliofanya vizur au graduates wa vyuo ndio wanaruhusiwa kwenda Munduli kutafuta nyota,
Kitu ninachoomba kufahamishwa inakuwaje form iv anaingia jeshini anafika mpaka kuwa koplo wa Jeshi Kisha baadae anaenda Monduli kutafuta nyota?
Asante sana mkuu kwa kunijuza.Form iv ambaye ni koplo kua afisa nahisi mpaka yawe maagizo kutoka ngazi za juu either Rais au waziri husika.
Ndio hapo mkuum utasikia baba yangu alikua na cheo Cha Charlie Oscar au Sameja kama hivyo yaani. Halafu maswali mengine ni ujinga tu kuyajibu mkuu sometimes tuna kausha. Mtu kama Mbele (RTD) a.k.a chumvichumvi alianzia other ranks mpaka akafikia alipofikiaAnajitahidi hata hivyo
kuna wengine watoto wa MT's, P's lakini waliishia kukariri utasikia V mbili v Mbili lakini hawakujua hata huyo v mbili jina la cheo chake ni lipi
Alimaanisha WO au warranty officerSir meja ni cheo gani?
Hakuna kitu kama hicho jeshini, labda kama utaratibu umebadilika mkuu au kuna njia za mkatoInawezekana na wengi Sana wamefanya hivyo na Sasa ni ma ofisa wakubwa tu.
Kwa maelezo yake Urio, hana hizo sifa za kujiendeleza A'level na Degree hata ya kijeshiHaiwezekani kusoma ukaongeza elimu ukiwa jeshini? Ukafanya mitihani ya kidato cha sita
,diploma au digrii?
Wanaofanya kazi ofisi ya rais akimpendeza tu boss wake anapandishwaBinafsi nimeshindwa kuelewa cheo cha Urio na elimu yake. Wajuzi wa mambo mtufahamishe.
Denis Urio aliulizwa jana kuhusu elimu, akasema yeye ni form four lV, na hana bachelor degree.
Nilivyokuwa najua, luteni wa jeshi ni lazima awe na degree hata kwa kujiendeleza, kitu ambacho hakipo kwa Urio. Natoa mifano miwili ambayo yote Urio hana.
1. Kwa mfano, mtu ameingia jeshini akiwa na IV, baadae anajiendeleza kwa kusoma A'Level kama Private Candidate, halafu anafaulu, halafu anajiunga chuo kikuu, halafu anaenda kuchukua nyota.
2. Mtu ameindia jeshini akiwa na IV, akajiendeleza kwenye kozi za kijeshi mpaka akapata Bachelor Degree ya kijeshi, mfano Bachelor of Millitary Science.
Sasa, tukija kwa Urio, yeye ni form IV ila ni afisa wa jeshi. Hana hata degree ya kijeshi, ambayo labda alijiendeleza akiwa kazini!!!!
Wajuzi mtusaidie kufafanua hili.!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app





Huyo ni captainYes, inawezekana kabisa, nina ndugu alianza na V moja, currently ana nyota 3. Nadhani unajua mtu mwenye nyota 3 ana cheo gani.
Yaani nyie mpaka muambiwe,huoni hii picha iko upsdown?,urio ni afisa kipenyo huu ndio ukweliMkuu Yoda kuna hoja ya msingi sana inakuaje huyo Luteni Urio elimu yake ya mwisho ni Veta na Form na form yenyewe ya Division three ya mwisho ilhali Jeshini hata kwa Cheti cha Form six tu ni ngumu sana kuwa Luteni
Nafahamu mkuu nilikua nam-mock tuAlimaanisha WO au warranty officer
Afisa kipenyo ndio anajibu pumba vile mahakamani.. basi kazi ipo hii nchi.Yaani nyie mpaka muambiwe,huoni hii picha iko upsdown?,urio ni afisa kipenyo huu ndio ukweli
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Tumeisha eehAfisa kipenyo ndio anajibu pumba vile mahakamani.. basi kazi ipo hii nchi.
Itakua hio njia ya mkato uli itengeneza wewe.Hakuna kitu kama hicho jeshini, labda kama utaratibu umebadilika mkuu au kuna njia za mkato
Unaongea usichokijuaItakua hio njia ya mkato uli itengeneza wewe.