wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,832
Tuma salamu kwa Watu 3.Unaongea usichokijua
Tuma salamu kwa Watu 3.Unaongea usichokijua
Nanga mkubwa wewe unaufahamu gani kuhusu JWTZMimi ni raia ila nilibahatika kuishi kambini kama miaka 20 iliyopita maana Mzee wangu alikuwa mwanajeshi hivyo kidogo nina ufahamu wa juu juu na mambo madogomadogo ya wanajeshi wetu.
Ninachojua kuhusu vyeo ni kwamba askari akishaanza na V begani basi ni ngumu kufika kwenye nyota sana sana ataishia kuwa Sir meja au kolokolo 1 & 2, pia form vi waliofanya vizur au graduates wa vyuo ndio wanaruhusiwa kwenda Monduli kutafuta nyota.
Kitu ninachoomba kufahamishwa inakuwaje form iv anaingia jeshini anafika mpaka kuwa koplo wa Jeshi Kisha baadae anaenda Monduli kutafuta nyota?
Sawa mkuu wa kupulizaTuma salamu kwa Watu 3.
Mbona povu kijana, kunywa maji mengi utulize mbun'go.Nanga mkubwa wewe unaufahamu gani kuhusu JWTZ
Ishu ni elimu kijana.Captain, kwa utaratibu upi alipanda mpaka kufika hicho cheo?
Nimekuelewa vizur mkuu mm nilikuwa nadhani once ukishapata vii basi cheo cha mwisho ni WO.Ishu ni elimu kijana.
Anaweza akawa aliingia na form four pengine akifanya kazi kwa miaka 6 huku ndani ya miaka 6 hiyo akijiendeleza kwa diploma mpaka kufika degree.
Pengine sasa alipata bahati ndani ya miaka minne ya kazi yake akaenda cheo cha coplo huku pengine anaanza degree.
Aliporudi coplo akaendelea na degree,alipomaliza degree akasajili cheti chake kazini kikatambulika na jeshi wakamtambua kama msomi.
Sasa kama jeshi limemtambua kwamba coplo fulani ana degree unadhani kuna kikwazo gani vyeo vya elimu vikija na yeye asiwemo katika watakaoenda somea nyota ?
Sidhani kama inakuwa hivyo,kwenye majeshi ukiwa na elimu unapanda vyeo haraka kuliko kusubiri vyeo vya wakati ufike.Nimekuelewa vizur mkuu mm nilikuwa nadhani once ukishapata vii basi cheo cha mwisho ni WO.
Sio miaka tu na, kozi za uongozi (Jnr/Snr)Sidhani kama inakuwa hivyo,kwenye majeshi ukiwa na elimu unapanda vyeo haraka kuliko kusubiri vyeo vya wakati ufike.
Pengine jeshini ili uwe koplo kiwakati basi inatakiwa uwe umetimiza miaka mfano 5 na usiwe umeshtakiwa ndo unaweza kwenda cheo cha kopulo.
Ila wakati huo hio pengine mtu aliyeingia na masters akafanya kazi miaka mitatu tu akaenda nyota yake anakuwa amepiga hatua kubwa kuliko angesubiri cheo cha wakati ambacho kinaenda kwa utaratibu,japokuwa na hivi vyeo vya elimu navyo vina bahati yake ila ukiwa na elimu hata kama cheo huna basi mshahara wa slimu yako unapata.
Sijui kwa nini askari wengi hawasomi kuongeza elimu
Sahihi mkuu,mwngi ya huko siyafahamu sana ila nina hakika na ninayoyafahamuSio miaka tu na, kozi za uongozi (Jnr/Snr)
Pamoja mkuuSahihi mkuu,mwngi ya huko siyafahamu sana ila nina hakika na ninayoyafahamu