Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,214
- 20,988
Mimi ni raia ila nilibahatika kuishi kambini kama miaka 20 iliyopita maana Mzee wangu alikuwa mwanajeshi hivyo kidogo nina ufahamu wa juu juu na mambo madogomadogo ya wanajeshi wetu.
Ninachojua kuhusu vyeo ni kwamba askari akishaanza na V begani basi ni ngumu kufika kwenye nyota sana sana ataishia kuwa Sir meja au kolokolo 1 & 2, pia form vi waliofanya vizur au graduates wa vyuo ndio wanaruhusiwa kwenda Monduli kutafuta nyota.
Kitu ninachoomba kufahamishwa inakuwaje form iv anaingia jeshini anafika mpaka kuwa koplo wa Jeshi Kisha baadae anaenda Monduli kutafuta nyota?