Utaratibu wa kupata frame za pale Mwenge upo vipi?

Streptokinase

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
268
421
Wadau kama title inavojieleza, ningeopenda kufahamishwa utaratibu wa kufuata ili kupata frame zile za maeneo ya Mwenge.

Natanguliza shukrani.
 
Ngoja na Mimi Niweke kambi hapa, nisubiri majibu...Sisi wapemba Biashara ndio shughuli zetu....Tena Mwenge......
 
Wadau kama title inavojieleza, ningeopenda kufahamishwa utaratibu wa kufuata ili kupata frame zile za maeneo ya Mwenge.

Natanguliza shukrani.
Unamfata mwenye jengo au msimamiz unaongea nae vizur tu

Baadh ya majengo madalal ndio wenye maamuz ya kupangisha kwa hiyo unapaswa kuwasiliana nao
 
Unamfata mwenye jengo au msimamiz unaongea nae vizur tu

Baadh ya majengo madalal ndio wenye maamuz ya kupangisha kwa hiyo unapaswa kuwasiliana nao

Aah sikua specific nataka kujua utaratibu wa kupata zile frame mpya za serikali zinazojengwa pale mwenge
 
Back
Top Bottom