Lema, kasema Kweli, Miji na Majiji yamejaa Frame, wako wapi Mipango miji?

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,575
Reaction score
8,911
Linapo kuja swala la Mipango miji nazani Tanzania tunaweza kuwa ni wa mwisho. Hata Congo pamoja na vita zao zile ukienda Jiji kama Goma unakuta kuna Mipango miji.

Tanzania ni kama mamlka hazipo, yaani Serikali isha vunjwa sasa kila mtua anajifanyia anavyo taka.

Tanzania nchi imejaaa Frame, ni frame kushoto, kulia, hadi taasisi za Serikali zinashindana kujenga Frame, kwa sasa Majeshi nayo wako kwenye kasi ya mashndano ya kujenga Frame.Unakuta maeneo ni makazi ya watu sehemu ambazo zingehitaji utulivu unakutana na frame za kutosha.

Kuna Frame hadi kambi za jeshi, yaani, imebakia ule ukuta wa Ikulu nao ujengwe Frame.

FB_IMG_1702823248891.jpg
 
Hoteli za magomeni juu vyumba floor ya chini fremu kunauzwa spare parts za pikipiki magari etc
Tuta fanyaje sasa na ndio matajiri wetu hawa wamesha amua iwe hivyo 😃
 
Serikali ndio inafurahia maana inapata kodi...
 
Inashangaza, hakuna makazi rasmi ya watu na maeneo ya Biashara

Nchi imejaa frame
 
Sijawahi kujua,Nchi hii wananchi tunahitaji Nini hasa😅😅😅.
Nchi ngumu Sana hii,machinga hawatakiwi,na flem pia🤣🤣🤣🤣.

Tuleteeni matatizo ya Nchi jamani.
Nchi nyingi zinakuwa kwa kufanya biashara
 
Linapo kuja swala la Mipango miji nazani Tanzania tunaweza kuwa ni wa mwisho. Hata Congo pamoja na vita zao zile ukienda Jiji kama Goma unakuta kuna Mipango miji.

Tanzania ni kama mamlka hazipo, yaani Serikali isha vunjwa sasa kila mtua anajifanyia anavyo taka.

Tanzania nchi imejaaa Frame, ni frame kushoto, kulia, hadi taasisi za Serikali zinashindana kujenga Frame, kwa sasa Majeshi nayo wako kwenye kasi ya mashndano ya kujenga Frame.Unakuta maeneo ni makazi ya watu sehemu ambazo zingehitaji utulivu unakutana na frame za kutosha.

Kuna Frame hadi kambi za jeshi, yaani, imebakia ule ukuta wa Ikulu nao ujengwe Frame.

View attachment 2845246
 
Hoja yako inaweza kuwa kweli!!ila inakosa nguvu pale unapolaumu bila kuonyesha suluhisho!
Inawezekana mawazo yako yakasikika na kuleta mageuzi.
 
Back
Top Bottom