Utaratibu wa kupata ajira Canada gharama zipoje?

Utaratibu wa kupata ajira Canada gharama zipoje?

Joined
Dec 14, 2020
Posts
11
Reaction score
15
Habari za mida wanazengo,

Kama kichwChcha habari kinavyojielezea, naitaj kujua ni njia gani kwa mwaka huu 2022 zinaweza kutumika kupata permanent residence Canada na kupata kazi yeyote ya kuanzia na itagharimu kiasi gani process yote?

NATANGULIZA ASANTE.
 
Ingia youtube tafta mtu anaeitwa JOYCE KANADA anakuwaga na collaborations na wengine anatoa maelezo mazuri na agents pia wa kukusaidia. Mtafute huyo joyce k mkuu
 
Kwanza kabisa kupata permanent residence ukiwa nje ya Canada ni kitu hakipo, Pili ili kuingia Canada kuna njia nyingi ila rahisi ambayo pia sio rahisi ni kupitia study permit, na express entry kwa wenye ujuzi(elimu) ulioainishwa.
Kama unatarajia kuingia Canada kwa mualiko wa kazi basi hapo andaa vimilioni kadhaa... roughly 7, utakutana na agents wataokutafutia kazi huko.
Mwisho kabisa kuwa makini na hela yako, matapeli ni wengi mno.
 
Tafuta USD 3000 mfuko wa shati na passport uwe nayo ..ukifanya hivyo Basi utafika kanadda.
 
Back
Top Bottom