SiwajuiWe hujui viongozi waliofariki.
Kama Rais amefariki alafu unataka kumuoa utafanyaje? Aiseee naona mmeanza matusi mapya mapya.Naomba ufafanuzi km rais amefariki,na imetokea nimedhamiria nataka kumuoa utaratibu ukoje.
Maana wengi wake wa viongozi wakuu wako single tu kwanini,nimejaribu Mara kazaa ila ulinzi mkali sana.
Mpaka kuonana nae procedure nyingi sana tena hawataki uongee nae kwa siri hii ni kwann ?
Naomba ufafanuzi km rais amefariki,na imetokea nimedhamiria nataka kumuoa utaratibu ukoje.
Maana wengi wake wa viongozi wakuu wako single tu kwanini,nimejaribu Mara kazaa ila ulinzi mkali sana.
Mpaka kuonana nae procedure nyingi sana tena hawataki uongee nae kwa siri hii ni kwann ?
Daaah kile ni chombo kwa kweli.Na vp mke wa Fikikunjombe?
Chombo chombo kweli kile...Daaah kile ni chombo kwa kweli.
Mi mwenyewe udenda hua unanitoka pale.