Utaratibu wa kuoa mjane wa Rais (first lady) au waziri mkuu.

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Naomba ufafanuzi km rais amefariki,na imetokea nimedhamiria nataka kumuoa utaratibu ukoje.
Maana wengi wake wa viongozi wakuu wako single tu kwanini,nimejaribu Mara kazaa ila ulinzi mkali sana.
Mpaka kuonana nae procedure nyingi sana tena hawataki uongee nae kwa siri hii ni kwann ?
 
Kama Rais amefariki alafu unataka kumuoa utafanyaje? Aiseee naona mmeanza matusi mapya mapya.
 
Sasa mkubwa first lady anakuwa tayari umri ushaenda hivyo hata kuolewa itakuwa shida fulani maana kwanza itakuwa ni aibu..
Kwa mfano wee mama nyerere siku mumewe anakufa wee ungeweza kumwoa?
Naomba ufafanuzi km rais amefariki,na imetokea nimedhamiria nataka kumuoa utaratibu ukoje.
Maana wengi wake wa viongozi wakuu wako single tu kwanini,nimejaribu Mara kazaa ila ulinzi mkali sana.
Mpaka kuonana nae procedure nyingi sana tena hawataki uongee nae kwa siri hii ni kwann ?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom