UTARATIBU NI UPI???

UTARATIBU NI UPI???

Binman

Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
68
Reaction score
30
Habari,,, nimeingia NACTE nimeona tangazo lao kuwa majina yametoka na pia wameruhusu kuapply cheti na diploma mpaka tarehe 5 agoust,, lakini nikiingia CAS wanasema diploma waanze kuapply tarehe 31 mwez huu!!! Sasa kwa wale form six waliotemwa wenye division 3 wanaanza kuapply lini maana Sielewi???
 
Mi mwenyewe sielewi Nina ordinary diploma ya 3.1 sijui niombe nini
 
Hv na waliomaliza from six na wenye nao wanahesabiwa kwa GPA kuchukua diploma ya secondar na hz GPA kwa wa from six unazipata vp...??
 
Sasa mbona nacte kwenye guid book zao hakuna diploma in in secondary ambayo anatakiwa kuchukua mtu aliyomaliza form six msaada plz
 
Back
Top Bottom