Ghulaam
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 1,868
- 1,495
Kampuni inayojiita DEV Magari Broker and Auctioneer Limited wakijihusisha na Uuzaji wa magari na utoaji wa mikopo hawa watu ni matapeli
Kampuni hii Iko pale Banana jijini Dsm..... Mnakubaliana kuuziana gari na utakapolipia Nusu ya Fedha pale Ofisini kwao wanaanza kukuzungusha Hutapatiwa Gari wala kurejeshewa Fedha zako kampuni hii Imesajiliwa na BRELA
Na Account ya CRDB iliyosajiliwa kwa jina la hilohilo la Kampuni inayotumika kufanyia malipo
Watu wengi wameishia Kutapeliwa na wasipewe Bidhaa wanazokubaliana kuuziana
Ofisi imeendelea kufanya kazi kwa Utapeli na utajibiwa Vyovyote bila hofu.......Huenda DAVID MGASHI ana watu wakubwa anaowategemea kiasi amekuwa Hajali mtu yeyote
Wakubwa hao wajue wanawaumiza watanzania wenzao David mgashi ni mtu Tapeli kwenye Biashara yake ya Magari
RPC Muliro kwa nafasi yako fuatilia Jambo hili pale Stakishari Kesi za DEV MAGARI zinaripotiwa sana Pale........Dev Magari anawaumiza watanzania
Ana page Instagram ana page Facebook kuweni makini na huyo mtu ukicomment chochote kuhusu utapeli wake atafuta comment yako na kukublock