Leo asubuhi nimeenda kumtumi mtu hela kwa njia ya tigo pesa. Wakala akaniambia kuwa huwa hawatumi pesa, labda aniwekee kwanza ktk akaunt yangu then nitume mwenyewe.
Nilijiuliza kwanini iingie kwanza kwangu ndipo nitume wakati lengo si kuweka ktk akaunti yangu?
Niligundua ninapofanya transaction wanakata 200/= so wakala akituma direct wanazikosa, ila si kuna kiasi wanakata mteja anapotoa hela?
Hii imenikera sana, naona ni wizi mkubwa.
Acha uongo,labda huyo wakala ndo hajui, mbona mimi jana nimetuma direct kwa mhusika??,wakala kimeoLeo asubuhi nimeenda kumtumi mtu hela kwa njia ya tigo pesa. Wakala akaniambia kuwa huwa hawatumi pesa, labda aniwekee kwanza ktk akaunt yangu then nitume mwenyewe.
Nilijiuliza kwanini iingie kwanza kwangu ndipo nitume wakati lengo si kuweka ktk akaunti yangu?
Niligundua ninapofanya transaction wanakata 200/= so wakala akituma direct wanazikosa, ila si kuna kiasi wanakata mteja anapotoa hela?
Hii imenikera sana, naona ni wizi mkubwa.
Leo asubuhi nimeenda kumtumi mtu hela kwa njia ya tigo pesa. Wakala akaniambia kuwa huwa hawatumi pesa, labda aniwekee kwanza ktk akaunt yangu then nitume mwenyewe.
Nilijiuliza kwanini iingie kwanza kwangu ndipo nitume wakati lengo si kuweka ktk akaunti yangu?
Niligundua ninapofanya transaction wanakata 200/= so wakala akituma direct wanazikosa, ila si kuna kiasi wanakata mteja anapotoa hela?
Hii imenikera sana, naona ni wizi mkubwa.
mbna unakuwa mbumbumbu wewe ataitumaje direct? Lazma akuingizie wewe na uisikie imeingia ili kuondoa mikanganyko

Lakini mbona kwa mawakala wengine wa Tigo pesa na hata M-pesa,huwa wanatuma direct. Labda tatizo ni kwa huyo wakala na baadhi ya mawakala wengine.

nawewe nadhani hujawai tumia huduma hii ya tigo pesa so ungekaa kimya, hilo analolitaka kutuma moja kwa moja inawezekana sana kaka, na hata tigo wanalitambua, sasa kama inawezekana kuniwekea katika namba yangu kwanini ishindikane katika namba nyingine, ngoja nikupe logic behind hapa kaka,

akikuwekea wewe atapata commisions hapo wakala na wewe utapoituma tigo watapata commision, ila akituma moja kwa moja only wakala anapata commisions. SIO TIGO TUU HUO MCHEZO SIKU HIZI HATA M PESA WANAO, VODACOM wanakataza mawakala kutuma pesa moja kwa moja wanataka umuingizie mteja kwanza nae atume.

bongo wizi mtupu??
Mkuu hakuna lugha ingine ya kutumia hapo zaidi ya hiyo?mbna unakuwa mbumbumbu wewe ataitumaje direct? Lazma akuingizie wewe na uisikie imeingia ili kuondoa mikanganyko
Mkuu kuna biashara ya usafirishaji wa hela chafu, kwa hiyo ile ni moja ya control. Ili waweze kuwa na kumbukumbu ya mtumaji na mpokeaji ni lazima wewe utume. (ili kubaki na trail)

mkuu nadhani umewaelewesha kitu ninachocomplain.