Hivyo ndo muhimu kwako? Point ya hii tahadhari sio vitu vilivyoibwa! Nikuwa alert watu juu ya mbinu mpya ya utapeli! Kama wewe kwako muhimu Ni thamani ya vitu vilivyoibwa! Hiyo sio muhimu kwa wengine, ndo maana mpo wawili Tu mnaohoji nonsense issues! Unadhani nimeingiza kiasi gani kudanganya hapa?Hapo hata mimi nimeona mleta stori katupiga kamba
Hata kama, ila chumvi nyingi huaribu ladha ya mbogaHivyo ndo muhimu kwako? Point ya hii tahadhari sio vitu vilivyoibwa! Nikuwa alert watu juu ya mbinu mpya ya utapeli! Kama wewe kwako muhimu Ni thamani ya vitu vilivyoibwa! Hiyo sio muhimu kwa wengine, ndo maana mpo wawili Tu mnaohoji nonsense issues! Unadhani nimeingiza kiasi gani kudanganya hapa?
HatariChumvi iko wapi?
INAVYOONEKANA TAPEL ALICHOFANYA KWANZA NI KUHAKIKISHA ANAWAONYESHA ABIRIA KUWA ALIE KAA NAE NI WAMOJA SO HATA ALIEIBIWA ALIPOZIMIKA, TAPEL " ALIMMILIKI" KMA MTU ANAEMFAHAMU NDIPO ANAPOWEZA PATA MWANYA WA KUMCONTROL KWA LOLOTE....NA KUPELEKEA KUMWIBIA.Hii stori yakutunga kabisa.unaleweshwa na kuporwa vitu vya thamani ya mil 5 kwenye daladala?.Hyo gari haina kondakta,dereva wala abiria wengine?.au lilikuwa porini ?.
Badooo kabisa hujanishawishi.hii muvi ina plot holes nyingi sanaINAVYOONEKANA TAPEL ALICHOFANYA KWANZA NI KUHAKIKISHA ANAWAONYESHA ABIRIA KUWA ALIE KAA NAE NI WAMOJA SO HATA ALIEIBIWA ALIPOZIMIKA, TAPEL " ALIMMILIKI" KMA MTU ANAEMFAHAMU NDIPO ANAPOWEZA PATA MWANYA WA KUMCONTROL KWA LOLOTE....NA KUPELEKEA KUMWIBIA.
Twambie mkuu,tujifunze!..Wapo na si Wa azam Tu... Hili lilinikuta sina hamu
NISHAAWAAMBIA WENZIO WE SIJUI ULIKUWA WAPI WE JIFUNZE TU KUWA WATZ WENGI SIKU HIZI NI WAKATILI HAWANA HURUMA USIMWAMINI MTU USIYE MFAHAMUTwambie mkuu,tujifunze!..
Mkuu umenena. Huu ujinga wetu watanzania kujifanya kuzoea mtu haraka ni wa kijinga sana. Mimi baada ya kusafiri safiri na kuona watu wa nchi nyingine mtu hawezi kunizoea kabisa hata kama nilikuwa namjua zamani. Nchi nyingine hata kuuliza njia inabidi uulize kwa makini kwani wengi hawatakusikiliza hasa kama mazingira ni tatanishi. Sasa hapa mimi nimebaki naduaa eti mtu anaambiwa aonje kinywaji na mtu asiyemjua halafu anakubali. Kwangu mimi hata kusalimia kwa kumpa mtu mkono ni marufuku unless tunajuana.Kinachonishangaza Kwa Binadam wa Kitanzania ni binadam ambae hayupo sehem yoyote n binadam tofauti na wengine Ni Tanzania tu unaeeza kuta mtu hamjuani mnaanza kuanzisha Stori tena sometimes za Siasa na Ndo Upuuzi hii hali iko Bongo tu na Kama alikua na ishu za Kuuliza mambo ya Azam why asingeenda kwenye ofisi zao Puuuumbaaaaaav
Mkuu umenena. Huu ujinga wetu watanzania kujifanya kuzoea mtu haraka ni wa kijinga sana. Mimi baada ya kusafiri safiri na kuona watu wa nchi nyingine mtu hawezi kunizoea kabisa hata kama nilikuwa namjua zamani. Nchi nyingine hata kuuliza njia inabidi uulize kwa makini kwani wengi hawatakusikiliza hasa kama mazingira ni tatanishi. Sasa hapa mimi nimebaki naduaa eti mtu anaambiwa aonje kinywaji na mtu asiyemjua halafu anakubali. Kwangu mimi hata kusalimia kwa kumpa mtu mkono ni marufuku unless tunajuana.
Kama hujaiona potezeaHatari
Sijaona nini?Kama hujaiona potezea
Chumvi kwenye storiSijaona nini?
Mbagala rangitatuHii stori yakutunga kabisa.unaleweshwa na kuporwa vitu vya thamani ya mil 5 kwenye daladala?.Hyo gari haina kondakta,dereva wala abiria wengine?.au lilikuwa porini ?.
Ndo mana hata mijitu mingine inatongozana na kupelekana gest bila hofu ya kuibiwa mali, kufanywa vibaya na hata kuuawa...watz tubadilike mwe!!Mkuu umenena. Huu ujinga wetu watanzania kujifanya kuzoea mtu haraka ni wa kijinga sana. Mimi baada ya kusafiri safiri na kuona watu wa nchi nyingine mtu hawezi kunizoea kabisa hata kama nilikuwa namjua zamani. Nchi nyingine hata kuuliza njia inabidi uulize kwa makini kwani wengi hawatakusikiliza hasa kama mazingira ni tatanishi. Sasa hapa mimi nimebaki naduaa eti mtu anaambiwa aonje kinywaji na mtu asiyemjua halafu anakubali. Kwangu mimi hata kusalimia kwa kumpa mtu mkono ni marufuku unless tunajuana.
Mkuu hebu orodhesha vizuri vitu alivyo ibiwa!Jamaa yangu amepanda Daladala, akisubiri abiria wajae ili Bus liondoke, baada ya muda anaingia jamaa akiwa amevaa T'shirt ya Azam, Kofia ya Azam, in short yuko uniform kwa Sale na akionekana anafanya kazi Azam, smart vya kutosha.
Jamaa anaingia na kukaa siti ya mbele yake, baada ya muda ananyanyuka na kuja kukaa siti moja na jamaa yangu, baada ya salam na story mbili 3 jamaa akajitambulisha anafanya kazi Azam, jamaa yangu Ana kampuni yake inayojishughurisha na kazi flani, akatumia nafasi hiyo kuuliza mambo flani kuhusu Azam kuona kama anaweza anaweza kupata connection yoyote, baada ya story za hapa na pale mdau wa Azam akafungua begi akatoa Juice ambayo ilikua kwenye Kopo kama la Heineken vilevile, mdau akalifungua akaanza kunywa, akamwambia Jamaa yangu, Azam wana bidhaa mpya, na wao wanapita mitaani kupata Mawazo ya wadau kuhusu bidhaa mpya kabla hawajaingiza sokoni.
Akafungua begi akatoa kopo jingine akampa yangu, jamaa akaanza kusoma Maelezo yote yaliokua kwenye ile label, Ina nembo ya Azam kama kawaida, Jamaa yangu baadaye akaiweka kwenye begi lake akisema ataionja akifika home vile hapendi kulakula njiani, but baadaye akaona atakua hajamtendea haki jamaa, coz mdau angehitaji feedback, basi akaamua kunywa, akamwambia Ni nzuri sema Ina uchachu flani ambao haoni kama Ni mzuri....zilipita dakika kama 10 akazima, kuja kuzinduka baada ya siku 3 wamebeba vitu vya thamani kubwa na pesa, simu n.k jumla 5 millions na ushee!
Police wakamwambia kesi ya aina yako Ni ya 4, Muhimbili walimwambia wewe Ni mtu wa 6 kwa tatizo kama lako!
Tuwe take care Wadau!