Utapeli mpya kupitia kampuni ya Azam

Mara nyingi wanaoingia kwenye mtego wa kutapeliwa, wengi wao wanakuwa ni sabab ya TAMAA, HALAFU VITU VYA 5M, Hebu tuorodheshee ni nini na nini? yani mtu ana tembea na vitu vya 5m hata ka vitz huna.? nawaza tu, madaladala tuachieni sie jamani. KWA GHARAMA YA VITU ALOPORWA HAPO ANGEONGEZA KA 2M au 3 m angekuwa na gari yake.
 
 
Eeh Bhana eeh! ....I'm speechless! Pole mkuu
 
Kwa hii shida ya sukari..watakuja na mpya kuwa kuna sukari mpya imeingia tutest kwa kuilamba....
 
Mkuu hii upelelezi wa hii issue unaendelea, hivyo vingine sio muhimu, muhimu ilikua kuwataadharisha wengine, si unaona kuna watu wawili hapa wameshaibiwa kwa the same technique!!?
 
e
 
Labda jamaa mgeni mjini....

Hivi unaanzia wapi kunywa ???
Mimi bado naamini aliye ibiwa ni mgeni tena si tuu wa jiji bali hata wa kusafiri! Hii mbinu ni ya kizamani sana ambayo kwa sasa ni nadra kutumiwa na inategemea na mtu...! Kimsingi ukiibiwa kwa njia ya chakula au kinywaji lazima watu waseme ni uzembe labda kama umepewa na unaye mfahamu!

Ila ni utapeli wa zamani.
Walikuwa wanampa victim wao biscuits.... haswa kwenye magari ya mkoani.

Nashangaa miaka hii mtu analizwa kwa technique zike zile za long.....labda tabia ya watanzania kuamini amini watu hovyo ndio inawaponza.
 
Hapo kwenye 5M bado nina doubt pia..
 
Kinachonishangaza Kwa Binadam wa Kitanzania ni binadam ambae hayupo sehem yoyote n binadam tofauti na wengine Ni Tanzania tu unaeeza kuta mtu hamjuani mnaanza kuanzisha Stori tena sometimes za Siasa na Ndo Upuuzi hii hali iko Bongo tu na Kama alikua na ishu za Kuuliza mambo ya Azam why asingeenda kwenye ofisi zao Puuuumbaaaaaav
 
jamaa yako alienda nae home au walimfuata?

ila asante kwa kutujuza
 

Wewe, hii ni story yako ya kwanza kutunga? Mtafute shigongo akufanyie chorus
 
Nyie wanaume wa mikoani mnaliaibisha jiji letu la UKAWA... kula/kunywa ovyoovyo mwisho Mailimoja Kibaha
 
Mmmh! Sijaelewa hivyo vitu vya thamani ni vipi?alitembea navyo? Na hiyo mil 5 alikuwa nayo kwe bus ama?
Hii stori yakutunga kabisa.unaleweshwa na kuporwa vitu vya thamani ya mil 5 kwenye daladala?.Hyo gari haina kondakta,dereva wala abiria wengine?.au lilikuwa porini ?.
 
Ingawa mimi sifanyi kazi Azam lakini ninauhakika kuwa huu ulikuwa ni utapeli kama utapeli mwingine.
jamaa wamebuni mbinu ya kuibia watu kwa hiyo hicho kichwa cha habari siyo sahihi na wala hukuitendea haki kampuni ya azam.
 
Kaka inawezakana wewe hauko social au hujatembea.mbona kupiga story safarini na strangers ni kitu cha kawaida.Nimeshapata marafiki wengi tu nkiwa safarini kuanzia waafrica,wazungu,waarabu e.t.c tena wengi walianzisha wao mazungumzo.Nimeenda misri na mwenyeji wangu alikuwa mwarabu nliekutana naye kwenye basi kuelekea macau.Muhimu nikuwa makini tu na kutoruhusu mazoea ya harakaharaka.kukaa kimya safari ya dar to mwanza au dar to australia masaa zaidi ya kumi naa utanuka mdomo shehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…