Watanzania beware hizo ni 419 SCAMS, kuweni makini sana na mtu yoyote anayekupa dili au nafasi yoyote ya kupata pesa kubwa sana ila anakuambia ulipe kiasi fulani cha pesa kwanza. Huo mchezo umeenea kote duniani, watakuja na njia nyingine karibuni. Usilipe pesa kabla hutopata kitu hata akikutajia mama yako mzazi ni information tu mtu anaweza kupata kwa kutrace email, simu na vitu vingine.