kuna utapeli unafanyika na wamachinga wanaotembeza bidhaa za wembe kwenye maduka kwa kudanganya kuna promotions za kampuni husika, wanalaghai wateja kuwa ukinunua bidhaa hiyo unapata zawadi ya TV; Fridge ; nk . ukishanunua hizo bidhaa wanaondoka na hakuna cha zawadi na simu hawapokei! imagine umenunua bidhaa za laki moja za wembe utauza mpaka lini ziishe! tunaomba popote pale wakipita madukani wakamatwe maana wameshatapeli maduka mengi sana jirani yangu ametapeliwa juzi
Unaweza kuta huyo jamaa anayenunua wembe ili apate tv,ni graduate wa chuo kikuu.We mjinga kweli unanunua nyembe ili upate Tv
Nyinyi ndo mnatakiwa kukamatwa kwakuwapa vichwa matapeli,inamaana hapo Arusha maduka yakuuza tv hamjui yalipo?kuna utapeli unafanyika na wamachinga wanaotembeza bidhaa za wembe kwenye maduka kwa kudanganya kuna promotions za kampuni husika, wanalaghai wateja kuwa ukinunua bidhaa hiyo unapata zawadi ya TV; Fridge ; nk . ukishanunua hizo bidhaa wanaondoka na hakuna cha zawadi na simu hawapokei! imagine umenunua bidhaa za laki moja za wembe utauza mpaka lini ziishe! tunaomba popote pale wakipita madukani wakamatwe maana wameshatapeli maduka mengi sana jirani yangu ametapeliwa juzi
Aisee we jamaa bana, yaani unanunua nyembe za laki ili upate tv inayouzwa zaidi ya laki mbili na zaidi , inatakiwa ukapimwe mkojo c bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna utapeli unafanyika na wamachinga wanaotembeza bidhaa za wembe kwenye maduka kwa kudanganya kuna promotions za kampuni husika, wanalaghai wateja kuwa ukinunua bidhaa hiyo unapata zawadi ya TV; Fridge ; nk . ukishanunua hizo bidhaa wanaondoka na hakuna cha zawadi na simu hawapokei! imagine umenunua bidhaa za laki moja za wembe utauza mpaka lini ziishe! tunaomba popote pale wakipita madukani wakamatwe maana wameshatapeli maduka mengi sana jirani yangu ametapeliwa juzi
Halafu lawama zote utakuta wanawapa ccmYaani machinga anamtapeli mwenye duka???
Ee Mungu naomba utufungue akili zetu ili tusinunue nyembe tukitarajia TV na fridge.
Kama yule aliyekopesha pombe ya shilingi laki tano kwa kuangalia picha ya gari lenye thamani ya shilingi milioni 600 alilodai kuwa nalo huyo mkopaji. Halafu huo si ujinga, ni upumbavu kabisa.Ama kweli Wajinga hawataisha dunia hii [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama yule aliyekopesha pombe ya shilingi laki tano kwa kuangalia picha ya gari lenye thamani ya shilingi milioni 600 alilodai kuwa nalo huyo mkopaji. Halafu huyo si ujinga, ni upumbavu kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama yule aliyekopesha pombe ya shilingi laki tano kwa kuangalia picha ya gari lenye thamani ya shilingi milioni 600 alilodai kuwa nalo huyo mkopaji. Halafu huyo si ujinga, ni upumbavu kabisa.