Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,819
- 2,942
Ipo siku nitakuja na uzi wangu kuwapa ila sina hamu na matapeli sitaki mtu asogelee kwenye kipato changu
Waliwahi niliza pesa za watu na simu kwa ukarimu wa kumuelekeza yule mjinga, nasema allah amwongoze tuNilitapeliwa nililia sana sina hamu kila nikikumbuka najisikia kulia
Aliyeandika huu uzi mbona ni kama msela wangu alitapeliwa 2015 yaani hivi hivi!!Habari za Asubuhi Wakubwa!![emoji112][emoji112][emoji112]
.
Leo nimeamua kuwa changamsha kidogo na mada ya utapeli especially kwa mawakala jinsi utavyofanyika.
.
Huwa inakuwagaa hivi [emoji116][emoji116][emoji116]
.
Anakuja dukani Mtu Mzima fulani hivi alievaa mavazi ya official wengi wanavaa suti, tai na miwani.
.
Akija dukani anakuwa akizungumza na simu na huenda akaletwa na Tax au Private Car.
.
Mazungumzo ya hawa matapeli yanakuwa smart sana...[emoji116]
.
Like "Alfred unajua ule mradi niliamua mpewe nyie vijana wangu sababu napenda kuona mnakua kiuchumi" hapo hapo unashangaa anaongea na simu nyingine like...
.
"Hello Catherine, i will check u back" halafu baada ya hapo unaskia Habari Kijana huku akitabasamu na simu kaishikilia..[emoji116]
.
Kama vile bado anaongea, Utaskia "Samahani mna huduma ya TIGO PESA hapa?" halafu unaskia "Sorry Alfred acha nimuwekee Kanjunju John pesa yake ya Transport then nitakupigia".
.
Sasa bwana kuanzia hapo sasa anakuwa ameshakuteka psychology na unakuwa huna mashaka nae kabisa 🥲...[emoji116]
.
Bwana bwana bwana!!! Muvi la kutisha linaanza sasa. Kwanza ndugu tapeli anakuuliza "Milioni 1 si napata eeh".
.
Jibu lako either liwe ngoja niangalie au ipo basi yeye anakupa mzigo anakwambia hesabu.
.
Hapo unapewa milioni yenyewe imekamilika kabisaaa au hata anaweza kuzidisha..[emoji116]
.
[emoji24] Maumivu yanapoanzia sasa wakati wewe unamalizia kuhesabu Ndugu Mheshimiwa Tapeli atapokea simu au atajifanya anampigia mtu simu sasa utaskia...
.
"Hello Bajabir hii fedha nikuwekee kwa namba gani? Pleas be on time my friend Msafara unakabiria"
.
Wakati huo unachotakiwa uelewe..[emoji116]
.
Ni kuwa huyu Mheshimiwa Tapeli anakuwa ameshakuchora muda sana, ameshajua hauna CCTV, ameshajua weakness zako na mzunguko wako wa Wateja upoje.
.
Hawaendi sehemu yenye msongamano mkubwa.
.
Baada ya kuzuga anaongea na simu atakwambia either "Sorry naona huyu simuelewi"..[emoji116]
.
Inaonekana hajakuwa tayari na unaweza kumuwekea pesa akaja kusema hajaona na mimi nitakuwa nishaondoka".
.
Sasa bhana wewe ukimkabidhi hizo pesa tu kuna sekunde 2 kama sio 3 anakuzuga kidogo hv anabadilisha pesa kwenye koti la suti ila wewe ukiendelea kumtizama unaona...[emoji116]
.
Bado kazishikilia zile zile fedha.
.
Sasa hapo utaskia anakwambia tena "Au tufanye hv kwanini usitume kwangu kisha nikamtumia nikiwa safarini huko huko?" Atacheka halafu atajichekesha na wewe utajaa utazugwa na tabasamu atakwambia "okay naweza kukutajia No. Sasa eeh"
.
Wakati huo.[emoji116]
.
Sasa wewe umeshika simu ndugu yangu utashikishwa pesa huku unatuma [emoji24][emoji24].
Wakati unakaribia kutuma atakwambia jina fulani ile umeweka namba ya siri tu yeye huyooooooo anapotea"
.
Hapo sasa kinakujia kile kiakili cha "Kuthibitisha tena pesa ili uzigawe either au uweke kwenye droo.[emoji116]
[emoji24][emoji24] Ndugu yangu katika Upendo wa Bwana Mungu wetu utahisi kwanza ganzi maana kuna mambo hutayaelewa ile unarudi sasa kwenye akili yako unaangalia chini na juu unaona 2000 kibaoooooo.
.
Ile unahamaki ndugu Mheshimiwa Tapeli anakuwa hayupo tena area yako. Ila unasema upige simu..[emoji116]
HQ utaambiwa hii No. Imetumiwa 1,000,000 kweli ila hii pesa imeshatolewa hivyo hakuna namna ya kukusaidia tena labda uende Polisi kwa hatua zaidi.
[emoji24][emoji24] Wakati huo Mkononi una kama 150k tu.
Ndugu zangu haya mambo yapo na wala hayamkuti Mjinga, Ni kuomba Mungu tu.
[emoji1753] END [emoji1753]
Shida inakuaga ye anakana hukuniuliza nilikua naongea na simu, na hakuhakikisha namba na sheria wakala kabla hujatuma hakikisha namba na jina ndo utume 😀😀😀na yeye alikua anaongea na simu mpaka ulivyotuma ye bado anaongea utajua hujui 😀😀😀ukiangalia mwamba kaja very smart ananukia kapark harrier weeeeHapo unakomaa naye hadi polisi. Na kama una CCTV zinaweza kusoma Lips jina alilotamka. Si rahisi mtu kutoa pesa ndani ya dakika moja kama siyo utapeli.
Kwann uhudumie mtu wa hivo!! Yaani mimi mteja akija na hizo mambo za kuongea na sim huku anataka huduma kwangu hata kama nauza vitunguu simuhudumii mpaka a amalize kuongea..Umesahau na anakuja mkaka smart busy na simu anakutajia namba utume huku anaongea na simu ukituma ukamaliza anakwambia hajaona umekosea namba yake sio hiyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbingu zinafongoka
...Shiing ngapi?...Nilitapeliwa nililia sana sina hamu kila nikikumbuka najisikia kulia
Kama una CCTV zitaonyesha iwapo mliongea au la. Huyo kesi itaenda polisi. Na hawezi kukujazia watu kwenye ofisi yako. Ukitapeliwa kwa mtindo huo utakuwa mzembe sana.Shida inakuaga ye anakana hukuniuliza nilikua naongea na simu, na hakuhakikisha namba na sheria wakala kabla hujatuma hakikisha namba na jina ndo utume 😀😀😀na yeye alikua anaongea na simu mpaka ulivyotuma ye bado anaongea utajua hujui 😀😀😀ukiangalia mwamba kaja very smart ananukia kapark harrier weeee
Usitoe lawama tu bila kuelewa mambo!!sio kila line anayopewa mteja huwa ni mpya kabisa(haijawahi kutumika)unapokuwa na line usipoitumia kwa muda mrefu huwa inafungwa,na baadaye kupewa mtu mwingine.Ina onekana hiyo line uliyopewa ilikuwa imeshatumiwa na mtu mwingine .niligundua wale watoa huduma pia ni wahuni,
haiwezekani laini ni mpya haijatumika kwa chohote, vocha imewekwa ya kukwangua
lakini bado tapeli anapata nafasi yani kubuni namba iliyosajiliwa dakika 10 nyuma
Huwa hakuna kitu kinakera unaenda kununua bidhaa flani, iwe Nguo, gari au chochote kile then kunakuwa na Muuzaji lakini kuna wale pembeni ambao ni madalali na wapiga debeMambo haya yaepuke ukiwa una dili na mambo ya pesa nyingi (ukiwa unanunua kitu kwa pesa nyingi kama nyumba , Gari kiwanja n.k)
Usinunue kwa influence ya watu walikuzunguka kwa kuzingatia maneno yao tuu bila udadisi
Usijarbu kufanya biashara yako nje ya utaratbu
Epuka biashara zenye kujaa wapambe ambako wengi huwajui/madalali
Mzingatie mshauri wako wa Kibashara na huku ukiwa Tayar ulikuw na taarfa za awali mapema kbsa
Sio ununue kwa haraka sana ukizan utakosa nenda katazame kaaa dadisi ata kwa siku 3 then nunu wakat wote usijinyoshe umekipenda sana au wew tulia itakusaidia ata wao kama wanauza bei juu watakupunguzia
ni lain niliyotengeneza nambaUsitoe lawama tu bila kuelewa mambo!!sio kila line anayopewa mteja huwa ni mpya kabisa(haijawahi kutumika)unapokuwa na line usipoitumia kwa muda mrefu huwa inafungwa,na baadaye kupewa mtu mwingine.Ina onekana hiyo line uliyopewa ilikuwa imeshatumiwa na mtu mwingine .
Hata kama umeitengeneza bado huko nyuma ilikuwa ya mtu,ndio maana umeipata!!mimi hadi leo nakutana na kero hiyo,mtu anapiga simu ana mhitaji mwenye simu,ukimwambia mbona ni mimi ana kataa,na kukutajia jina lingine .Hapo unagundua tu hii line ilishatumika na mtu mwingine.ni lain niliyotengeneza namba
nafikiri umeamua kubisha tuhHata kama umeitengeneza bado huko nyuma ilikuwa ya mtu,ndio maana umeipata!!mimi hadi leo nakutana na kero hiyo,mtu anapiga simu ana mhitaji mwenye simu,ukimwambia mbona ni mimi ana kataa,na kukutajia jina lingine .Hapo unagundua tu hii line ilishatumika na mtu mwingine.
Huo ndio ukweli!!hata hizo special number lazima ziwepo kwenye mfumo zimeshatengenezwa tayari,ndio maana huyo wakala ukimpa hiyo namba unayoihitaji lazima aitafute kwenye mfumo kama ipo,ipo wazi au ina mtu!!lakini huwezi kuja tu na namba zako,tu umezitoa kichwani moja kwa moja tu unatengenezewa line.nafikiri umeamua kubisha tuh
Ndiyo maana utaratibu mzuri ni wakala kuwa na vikaratasi vinavyosoma namba ,Jina na mtandao- sehemu kama hizi tapeli hasogei kwa maana akikupatia Hela unahakiki kabla ya kuweka akikubadilishia gia angani kwa namba yake nayo lazima aiandike , inakuwa haina mambo ya haraka haraka.Shida inakuaga ye anakana hukuniuliza nilikua naongea na simu, na hakuhakikisha namba na sheria wakala kabla hujatuma hakikisha namba na jina ndo utume 😀😀😀na yeye alikua anaongea na simu mpaka ulivyotuma ye bado anaongea utajua hujui 😀😀😀ukiangalia mwamba kaja very smart ananukia kapark harrier weeee
Wewe ni kucheka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]