Utapeli kwa mawakala unakuwa hivi!

Utapeli kwa mawakala unakuwa hivi!

Wife amesuuzwa laki tano mwaka jana December alifunga duka saa tano akaenda kulala mpak kesho yake. kwa hesabu zake alijua amepigwa 500 yote kumbe jamaa alimpa 199000 hivyo akamwacha na gape ya 300 na ..mimi mwenyewe mwaka 2017 niliotewa 250 japo mimi ilitumika mbinu tofauti na hii wale jamaa wabaya sana.
 
Habari za Asubuhi Wakubwa!![emoji112][emoji112][emoji112]
.
Leo nimeamua kuwa changamsha kidogo na mada ya utapeli especially kwa mawakala jinsi utavyofanyika.
.
Huwa inakuwagaa hivi [emoji116][emoji116][emoji116]
.
Anakuja dukani Mtu Mzima fulani hivi alievaa mavazi ya official wengi wanavaa suti, tai na miwani.
.
Akija dukani anakuwa akizungumza na simu na huenda akaletwa na Tax au Private Car.
.
Mazungumzo ya hawa matapeli yanakuwa smart sana...[emoji116]
.
Like "Alfred unajua ule mradi niliamua mpewe nyie vijana wangu sababu napenda kuona mnakua kiuchumi" hapo hapo unashangaa anaongea na simu nyingine like...
.
"Hello Catherine, i will check u back" halafu baada ya hapo unaskia Habari Kijana huku akitabasamu na simu kaishikilia..[emoji116]
.
Kama vile bado anaongea, Utaskia "Samahani mna huduma ya TIGO PESA hapa?" halafu unaskia "Sorry Alfred acha nimuwekee Kanjunju John pesa yake ya Transport then nitakupigia".
.
Sasa bwana kuanzia hapo sasa anakuwa ameshakuteka psychology na unakuwa huna mashaka nae kabisa 🥲...[emoji116]
.
Bwana bwana bwana!!! Muvi la kutisha linaanza sasa. Kwanza ndugu tapeli anakuuliza "Milioni 1 si napata eeh".
.
Jibu lako either liwe ngoja niangalie au ipo basi yeye anakupa mzigo anakwambia hesabu.
.
Hapo unapewa milioni yenyewe imekamilika kabisaaa au hata anaweza kuzidisha..[emoji116]
.
[emoji24] Maumivu yanapoanzia sasa wakati wewe unamalizia kuhesabu Ndugu Mheshimiwa Tapeli atapokea simu au atajifanya anampigia mtu simu sasa utaskia...
.
"Hello Bajabir hii fedha nikuwekee kwa namba gani? Pleas be on time my friend Msafara unakabiria"
.
Wakati huo unachotakiwa uelewe..[emoji116]
.
Ni kuwa huyu Mheshimiwa Tapeli anakuwa ameshakuchora muda sana, ameshajua hauna CCTV, ameshajua weakness zako na mzunguko wako wa Wateja upoje.
.
Hawaendi sehemu yenye msongamano mkubwa.
.
Baada ya kuzuga anaongea na simu atakwambia either "Sorry naona huyu simuelewi"..[emoji116]
.
Inaonekana hajakuwa tayari na unaweza kumuwekea pesa akaja kusema hajaona na mimi nitakuwa nishaondoka".
.
Sasa bhana wewe ukimkabidhi hizo pesa tu kuna sekunde 2 kama sio 3 anakuzuga kidogo hv anabadilisha pesa kwenye koti la suti ila wewe ukiendelea kumtizama unaona...[emoji116]
.
Bado kazishikilia zile zile fedha.
.
Sasa hapo utaskia anakwambia tena "Au tufanye hv kwanini usitume kwangu kisha nikamtumia nikiwa safarini huko huko?" Atacheka halafu atajichekesha na wewe utajaa utazugwa na tabasamu atakwambia "okay naweza kukutajia No. Sasa eeh"
.
Wakati huo.[emoji116]
.
Sasa wewe umeshika simu ndugu yangu utashikishwa pesa huku unatuma [emoji24][emoji24].
Wakati unakaribia kutuma atakwambia jina fulani ile umeweka namba ya siri tu yeye huyooooooo anapotea"
.
Hapo sasa kinakujia kile kiakili cha "Kuthibitisha tena pesa ili uzigawe either au uweke kwenye droo.[emoji116]

[emoji24][emoji24] Ndugu yangu katika Upendo wa Bwana Mungu wetu utahisi kwanza ganzi maana kuna mambo hutayaelewa ile unarudi sasa kwenye akili yako unaangalia chini na juu unaona 2000 kibaoooooo.
.
Ile unahamaki ndugu Mheshimiwa Tapeli anakuwa hayupo tena area yako. Ila unasema upige simu..[emoji116]

HQ utaambiwa hii No. Imetumiwa 1,000,000 kweli ila hii pesa imeshatolewa hivyo hakuna namna ya kukusaidia tena labda uende Polisi kwa hatua zaidi.

[emoji24][emoji24] Wakati huo Mkononi una kama 150k tu.

Ndugu zangu haya mambo yapo na wala hayamkuti Mjinga, Ni kuomba Mungu tu.

[emoji1753] END [emoji1753]
Hii ilinikuta mimi mwaka 2017 nilimwekea laki 490000 kuja kuhesabu pesa nikakuta 270000 hivi! ulivyoeleza ndio hivo hivo na wanajifanyaga wana haraka balaa mda wote busy tu
 
Umesahau na anakuja mkaka smart busy na simu anakutajia namba utume huku anaongea na simu ukituma ukamaliza anakwambia hajaona umekosea namba yake sio hiyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbingu zinafongoka
[emoji1787]Hoya hii inakuaje tena sasa baada ya hapo
 
Sikuzote mtu tapeli ana akili ya ujanja ujanja... Thinking capacity inakua juu... Ndio maana mtu yoyote anaweza kutapeliwa ktk mazingira haya au yale... Ningekua sina kazi ya kueleweka ningekua tapeli, maana ni kazi ambayo ni ngumu kukamatwa na ukikamatwa huitiwi mwizi (maana muonekano sio wa mwizi) zaidi ya kushikwa na kupeleka police na ukifika police kesi yake huwa haielewek hivyo mnaishia kukubaliana mtalipana vipi...
[emoji1787]
 
Habari za Asubuhi Wakubwa!![emoji112][emoji112][emoji112]
.
Leo nimeamua kuwa changamsha kidogo na mada ya utapeli especially kwa mawakala jinsi utavyofanyika.
.
Huwa inakuwagaa hivi [emoji116][emoji116][emoji116]
.
Anakuja dukani Mtu Mzima fulani hivi alievaa mavazi ya official wengi wanavaa suti, tai na miwani.
.
Akija dukani anakuwa akizungumza na simu na huenda akaletwa na Tax au Private Car.
.
Mazungumzo ya hawa matapeli yanakuwa smart sana...[emoji116]
.
Like "Alfred unajua ule mradi niliamua mpewe nyie vijana wangu sababu napenda kuona mnakua kiuchumi" hapo hapo unashangaa anaongea na simu nyingine like...
.
"Hello Catherine, i will check u back" halafu baada ya hapo unaskia Habari Kijana huku akitabasamu na simu kaishikilia..[emoji116]
.
Kama vile bado anaongea, Utaskia "Samahani mna huduma ya TIGO PESA hapa?" halafu unaskia "Sorry Alfred acha nimuwekee Kanjunju John pesa yake ya Transport then nitakupigia".
.
Sasa bwana kuanzia hapo sasa anakuwa ameshakuteka psychology na unakuwa huna mashaka nae kabisa 🥲...[emoji116]
.
Bwana bwana bwana!!! Muvi la kutisha linaanza sasa. Kwanza ndugu tapeli anakuuliza "Milioni 1 si napata eeh".
.
Jibu lako either liwe ngoja niangalie au ipo basi yeye anakupa mzigo anakwambia hesabu.
.
Hapo unapewa milioni yenyewe imekamilika kabisaaa au hata anaweza kuzidisha..[emoji116]
.
[emoji24] Maumivu yanapoanzia sasa wakati wewe unamalizia kuhesabu Ndugu Mheshimiwa Tapeli atapokea simu au atajifanya anampigia mtu simu sasa utaskia...
.
"Hello Bajabir hii fedha nikuwekee kwa namba gani? Pleas be on time my friend Msafara unakabiria"
.
Wakati huo unachotakiwa uelewe..[emoji116]
.
Ni kuwa huyu Mheshimiwa Tapeli anakuwa ameshakuchora muda sana, ameshajua hauna CCTV, ameshajua weakness zako na mzunguko wako wa Wateja upoje.
.
Hawaendi sehemu yenye msongamano mkubwa.
.
Baada ya kuzuga anaongea na simu atakwambia either "Sorry naona huyu simuelewi"..[emoji116]
.
Inaonekana hajakuwa tayari na unaweza kumuwekea pesa akaja kusema hajaona na mimi nitakuwa nishaondoka".
.
Sasa bhana wewe ukimkabidhi hizo pesa tu kuna sekunde 2 kama sio 3 anakuzuga kidogo hv anabadilisha pesa kwenye koti la suti ila wewe ukiendelea kumtizama unaona...[emoji116]
.
Bado kazishikilia zile zile fedha.
.
Sasa hapo utaskia anakwambia tena "Au tufanye hv kwanini usitume kwangu kisha nikamtumia nikiwa safarini huko huko?" Atacheka halafu atajichekesha na wewe utajaa utazugwa na tabasamu atakwambia "okay naweza kukutajia No. Sasa eeh"
.
Wakati huo.[emoji116]
.
Sasa wewe umeshika simu ndugu yangu utashikishwa pesa huku unatuma [emoji24][emoji24].
Wakati unakaribia kutuma atakwambia jina fulani ile umeweka namba ya siri tu yeye huyooooooo anapotea"
.
Hapo sasa kinakujia kile kiakili cha "Kuthibitisha tena pesa ili uzigawe either au uweke kwenye droo.[emoji116]

[emoji24][emoji24] Ndugu yangu katika Upendo wa Bwana Mungu wetu utahisi kwanza ganzi maana kuna mambo hutayaelewa ile unarudi sasa kwenye akili yako unaangalia chini na juu unaona 2000 kibaoooooo.
.
Ile unahamaki ndugu Mheshimiwa Tapeli anakuwa hayupo tena area yako. Ila unasema upige simu..[emoji116]

HQ utaambiwa hii No. Imetumiwa 1,000,000 kweli ila hii pesa imeshatolewa hivyo hakuna namna ya kukusaidia tena labda uende Polisi kwa hatua zaidi.

[emoji24][emoji24] Wakati huo Mkononi una kama 150k tu.

Ndugu zangu haya mambo yapo na wala hayamkuti Mjinga, Ni kuomba Mungu tu.

[emoji1753] END [emoji1753]
Binti wa kazini kwangu alipigwa 700k hivihivi
 
jana nili sajili laini ya simu ofisi kuu,
ajabu sms ya ile pesa nitumie kwa namba hii ikaingia baada ya kutoka ofisini tuh
na sijaweka pesa wala kuwasiliana na mtu kabisa.jamaa wakaivunja bikra
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesahau na ile ya bibi wa kihindi asiejua kiswahili kuomba msaada aelekezwe anataka kutumiwa hela[emoji3][emoji3][emoji3]tena anakuja na alphard kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesahau na anakuja mkaka smart busy na simu anakutajia namba utume huku anaongea na simu ukituma ukamaliza anakwambia hajaona umekosea namba yake sio hiyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbingu zinafongoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Kusema kweli mimi nikiona mtu kavaa suti na tai huwa na kaaga mbali nae...halafu na mtazama tu!

Kwasababu nakumbuka kipindi hiko nipo sekondari nasoma tuliwahi panda kwenye daladala (mimi na Bi mkubwa) na Mtu ambaye alivaa ki-official, bila ya kujua kama jamaa alikuwa mwizi....

Wakati tunakaribishia jamaa alikwapu simu ya bi mkubwa kwenye mkoba bila ya maza kujua na akajitia "wee konda niache hapo"

....na dakk 10 mbele maza anashtuka kuwa tayari wameshamliza [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

....yaan toka siku hiyo mimi nikimuona mtu kavaa suti na tai alafu anajifanya ni mtu mzito huwa na kaaga mbali nae yaan sitaki anitongoze na maneno au muonekano wake kabisaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
niligundua wale watoa huduma pia ni wahuni,
haiwezekani laini ni mpya haijatumika kwa chohote, vocha imewekwa ya kukwangua
lakini bado tapeli anapata nafasi yani kubuni namba iliyosajiliwa dakika 10 nyuma
Wakati mwingine ni coincidence tu matapeli hubuni namba kichwani ikiwa hewani ndio wanajaribu kupiga hela
 
[emoji1787]Hoya hii inakuaje tena sasa baada ya hapo
Anakujazia watu anatala hela yake, yaani hapo anakwambia ntakupeleka police 😀😀😀😀😀😀 na akitaja namba yake na hiyo uliyotuma unakuta zinatofautiana namba moja au mbili kwahiyo utachagua wewe umlipe pesa au uende police

Wakati wewe hela ulikotuma ishatolewa zamani
 
Hapo unakomaa naye hadi polisi. Na kama una CCTV zinaweza kusoma Lips jina alilotamka. Si rahisi mtu kutoa pesa ndani ya dakika moja kama siyo utapeli.
 
Back
Top Bottom