Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,729
- 24,583
🌴No reform no election
Wee subiri club world kapu tuu ni mwendo wa kapata hela toka kwa hizi cluba za africa. Wakicheza wee wachinje tuu maana wanaenda kutali united states of amrikaaaNaomba niwasanue..
Kampuni ya Paripesa inawatumia akina Sativa17. Ipo hivi: wanapewa mamilioni ya pesa na kampuni, wanasukiwa mikeka ya uongo(japo mara chache husika ya ukweli) Kisha Wana stake hela nyingi. Unakuta mkeka mmoja anaweka 700k na kutoa code na promo code anaisambaza kwenye magroup ya Whatsapp na page za mitandao ya kijamii.
Wanawashawishi watu ku stake hela nyingi kama wao. Kitakachofuata ni mikeka kuchanika kikatili sana. Wao wanakuwa hawana hasara kwa sababu hela siyo yao, ni ya Ponjoro. Wao wanalipwa fixed salary mwisho wa mwezi.
Mkeka pekee wa kweli ni wa kusuka mwenyewe.
Na kaziaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaNo reform no election
SureWee subiri club world kapu tuu ni mwendo wa kapata hela toka kwa hizi cluba za africa. Wakicheza wee wachinje tuu maana wanaenda kutali united states of amrikaaa
Hii ndio ponjororism theory iliyobakiNo reform no election
Mkuu, Naomba usome Upya nilichokiandika tafadhali🙏🏽mkuu hapa umeandika upuuzi tu.. zaidi umetumia tu hisia na akili zako fupi..betting ya mpira iko wazi kila mtu anajionea mechi ikichezwa uwanjani..na kuhusu hao uliowataja wao wamechagua timu wanazoziamini zitawapa matokeo ya ushindi mfano berkane win,pyramid win,PSG over 1.5 goals kisha akastake million 1..hapo kama ww ukafatiza alivyobet yeye na mkakosa utasemaje eti amefanya utapeli je,hizo timu hazipo,je,hizo timu hazikucheza uwanjani.? kuhjsu stake kila mtu ana urefu wa kamba yake na zaidi unene wa mfuko wako kuna wanaoweza kustake million,laki,elfu 10 au mia tano..katika betting ambazo hazina utapeli ni football hivyo mtoa mada acha uzandiki hayo sijui code , promo code na stake 700k hayo ni hiyari yako tu kuyafuata wala ulazimishwi..ww kama yamekushinda katafute kazi nyingine ufanye na sio kusingia eti football inakutapeli ni fix zenu za kushindwa.
HawajuiAisee! Wazee wa kubet sijui walikuwa wanajua hii..
Kipigo kiendeleeNiliwahi kusema kuwa ni tahira pekee yake atakubali kuuziwa mikeka.
Afande mmoja alinimind sana hapa jukwaani. Hiyo ni kwa wale matapeli wauza mikeka.
Naona sasa wame advance wanakula mezani kwa wenye kampuni.
Daahh maskini ni kipigo kila kona
Kweli mkuuNadhani anayechukua hy mikeka Ndo hana akili timamu